Hivi inawezekana kuroot simu zenye android marshmallow??

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habari zenu wakuu hivi karibuni nimenunua techno w4 ambayo ina android 6 (marshmallow) lakin tatizo kubwa nashindwa kuiroot nimejaribu apps karibu zote za kuroot lakin imeshindikana je kuna njia yoyote mbadala itakayonisaidia kupata root access???.. Au google wamekaza security zao kuzuia loophole za kuroot hii android M???
 
Awww thanks Hans Pol nimefanikiwa kuroot simu yangu bila shida kwa njia uliyonipatia...
Nashukuru kwa mrejesho, wengine wameona ni long proces so ngoja wasubiri developer wa fix hiyo ishu kwenye app za ku root simu.
 
Unaweza root, fanya back up kabla hakikisha umepata recovery mode ya simu husika na tafuta file ku root simu kwa google, then odin mode kazi kwisha. Mi natumia sm n910l note ima marshmallow nimeiroot
 
Back
Top Bottom