kayengar
Senior Member
- May 6, 2016
- 131
- 127
Msaada laptop yangu sina ya dell inazingua kidogo kwenye net ipo slow na music ina play tatizo lipo kwenye video iwe video ya YouTube au ambayo saved kwenye computer ikiplay baada ya dakika 3 tu inaanza Ku-scratch balaa tatizo litakuwa wapi maana nimeishaifuta nimebadilisha windows lakini wapi. Msaada wadau