Jinsi ya kufanya partition kwenye PC

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Naomba msaada wenu jinsi ya kufanya partition kwwnye pc.
Mwenye ujuzi.hebu share na mimi basi.
Asanten wakuu
 
Open Run,type "diskmgmt.msc"... Enter,..alaf left au rght click io hdd,chagua shrink ujazo unaotaka...
 
Unatumia windows ipi...anyway ingia kwny kusearch,type run,itakuja
 
Back
Top Bottom