malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Wanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo ya registration yaani kutusajiri(kuingia taarifa) Ku edit na hata kuweza kufuta taarifa ?
Kikubwa ni kuwa na database ya kawaida ambayo nitaweza kusajiri taarifa mbali mbali wa watu mfano Umri, jina, kazi afanyayo, Elimu yake na vitu kama hivyo.
Nimewakimbilia humu nikijua kuwa mtanisaidia maana humu ndio sehemu sahihi.
KARIBUNI
Asanteni.