Mimi ni freelancer nauza line line za simu sana ila wateja wangu wengi wanapenda mtandao wa VODACOM.
Huwa wanashindwa kunielewa pale wanapohitaji huduma ya SIM SWAP na hapa ni kijijini inakosa, nauli ya mji kwenda na kurudi 17000 wanashindwa kumudu gharama.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi na jambo hili anisaidie kuniunganisha ili niwahudumie.
NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU.