ContinousImprovement
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 290
- 268
Wakuu heshima kwenu.
Nimenunua laptop Acer Aspire R 11 ikiwa na window 10 installed. Tatizo nimeshindwa kuunganisha internet kwa kutumia simu yangu (hotspot) lakini nikiunga kwa wireless internet ya ofisini inakubali.
Pia nimejaribu kutumia usb lakini bado inakataa. Nimejaribu kufanya troubleshooting inaleta ujumbe dns might be unavailable.
Tafadhali nisaidieni. Kuna notes muhimu nitakiwa nizidownload.
Asanteni