Hii Samsung shida tuu

Saimony

Senior Member
Nov 7, 2015
164
85
Habari wakuu.
1. nina Samsung galaxy Trend Lite nikipigiwa simu naambiwa sipatikani na wakati mwingine napatikana. issue ikoje hapo
2. hii hii simu nikiingia internet muda fulani ina disconnected data na connect tena yenyewe.
wakati mwingine inaandika emergency call only kwa laini ya tigo tu. issue ikoje hapo
 
hiyo simu imeshawahi kupigwa spana? angalia usikute antenna ilisahaulika nje kwa fundi
 
Habari wakuu.
1. nina Samsung galaxy Trend Lite nikipigiwa simu naambiwa sipatikani na wakati mwingine napatikana. issue ikoje hapo
2. hii hii simu nikiingia internet muda fulani ina disconnected data na connect tena yenyewe.
wakati mwingine inaandika emergency call only kwa laini ya tigo tu. issue ikoje hapo
Simu nyingi za sumsung zina matatizo ya namna hiyo
 
nenda kwenye settings then nenda kwenye more networks bonyeza mobile networks utakuta sehemu imeandikwa network mode bonyeza utakuta WCMA/GSM(AUTO CONNECT) na WCDMA only na GSM only so select WCMA/GSM auto connect nadhani tatizo lako litakuwa limekwisha
 
ngoja nifanye hivyo
 
Back
Top Bottom