SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
mfanya biashara marekani kagundua silaha mpya ambayo ni bastola lakini smartphone tena Iphone...hii unaweza ukaibeba na kuificha kwa urahisi bila mtu kujua, itaanza kuuzwa soon mwishoni mwa mwaka huu....
haya wapenzi wa iphone kazi mnayo.. ukiingia ubalozi wa marekani pale kila mtu ana iphone kumbe ni silaha sisi tunaiga iga mtaani kutishana hata bando tu zinawashinda....
unaweza uka chart au ukamshuti mtu... what do you think..
source: The smartphone gun: cheap, hidden and deadly – video