Haiwezekani mdauWadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV ,
Kama kweli utumika nini?
Naomba kuwasilisha
Nashukuru mkuuLabda digital TV? Ziko free ila TV yako iwe inasupport digital TV reception
Yes kadri wenyewe wanavyoziachia.kuna mda huwa zinapotea na kurudi zenyewe.Nashukuru mkuu
Hiyo digital TV inakuwa mwanzo mwisho free ?
kwangu huu ni mwezi wa 4 toka zilivyo potea hazija rudigi tena.Yes kadri wenyewe wanavyoziachia.kuna mda huwa zinapotea na kurudi zenyewe.