Msaada: Kufutika kwa chanel zote za startimes!

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,377
9,311
Habarini!!!!
Am on the way to mombasa sina budi kulala ARUSHA ndo safari iendelee!!!!
tumefika jioni hii ila ilipofika mda wa kuangalia taarifa ya habari walipo washa TV chanel zikawa empty kumbe kuna mtoto alikuwa anachezea TV,,,,.
sasa wamejaribu kuset chanel zirudi
wapi zimeshindikana,,,,. naomba mwongozo namna ya kuzirejesha chanel zote ili walau ifikapo saa 5 usiku huu niangalie taarfa ya habari hata za KITAIFA [I.T.V].
 
Siyo mtoto mkuu mm mwenyewe nimerud kazn nakuta hamna Chanel hata moja hata ukisearch haziji na inaandika orodha haina channel sijui tatizo Ni nini
 
Siyo mtoto mkuu mm mwenyewe nimerud kazn nakuta hamna Chanel hata moja hata ukisearch haziji na inaandika orodha haina channel sijui tatizo Ni nini
afadhal we unaona ORODHA huku hakuna kabisa labda tumuite #statimes tanzania.
 
Nilidhani nadaiwa sijalipa bill nikaizima kwa aibu nikaweka deck ya movie sasa mmenijanjarusha kumbe ni wao star times
 
kumbe eee! mie zilikuwA zinakata na kurudi kw interval ya nusu dakika.nikaizima tv ipumzike.wapo kwenye maborongesho nahisi
 
Back
Top Bottom