Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 190
- 14
Habari ndugu zangu,poleni na shughuri za hapa na pale za kila siku katika maisha. Ndugu zangu mi ninashida moja ninayoipata ninapokua naitumia simu yangu,simu yenyewe ni Lumia 430 window 10 mobile Os build 14385. Tatizo nilalopata ni vidole kuuma na kupata ngazi ninapoitumia screen yake,hata nikibadiri mkono bado tena na huo mkono nahisi maumivu na tatizo hilo limeanza hivi karibuni kupata maumivu. Ila kwa upande wa smartphone zingine nikitumia sipati maumivu yoyote kwa hiyo nilikuwa naomba msaada jamani hapa jukwaani kwetu ambapo ndipo kimbilio letu sote,ahsante sana ndugu zangu.