Smartphone ya kununua

Una budget ya kati kwahiyo utalazimika kuchukua Mid Range Phones (kama mpya) ila used unaweza kupata High-End Phones.

Mi nakushauri tafuta Galaxy Note IV
mkononi mwa mtu. Hutajutia maamuzi yako.

Ulitaka mpya, Tafuta Samsung A series yoyote.
 
Hiyo hela unapata note 4 mpya kabisa toka dukani, usiwe na haraka.

Note 5 utapata used ukiongeza kidogo hapo.
 
Back
Top Bottom