NOI NOI
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 215
- 105
Kwa taarifa nilizo zipata jana kutoka blog ya
Maswayetu blogger ni kwamba kwa mhitimu yoyote ili aombe mkopo inapaswa awe na ufaulu wa GPA YA 3.5 kwa o`diploma je kweli wadau wa elimu ya juu kwa jambo hili nisaidieni nipate uhakika na je kwa wale waliokuwa tayari wameomba mkopo na wana GPA chini ya 3.5 inakuwaje?