Bonesmen JF-Expert Member Jan 18, 2016 929 991 Jul 15, 2016 #1 wakuu nimedownload game ya gta but haina sauti yani pale pa audio setup hapa function je nifanyaje kuliwezesha game hili kuwa na sauti
wakuu nimedownload game ya gta but haina sauti yani pale pa audio setup hapa function je nifanyaje kuliwezesha game hili kuwa na sauti
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,020 Jul 15, 2016 #2 Restar hyo PC au kama ni cm uone
Bonesmen JF-Expert Member Jan 18, 2016 929 991 Jul 15, 2016 Thread starter #3 Mustaphagentleman said: Restar hyo PC au kama ni cm uone Click to expand... Bado tatizo lipo pale pale
Mustaphagentleman said: Restar hyo PC au kama ni cm uone Click to expand... Bado tatizo lipo pale pale
Bonesmen JF-Expert Member Jan 18, 2016 929 991 Jul 15, 2016 Thread starter #5 Mustaphagentleman said: Jaribu Ku Update PC Yako Click to expand... kiaje mkuu
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,020 Jul 15, 2016 #6 Nenda Window Deffernder Update Important updates