Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au...
Wadau habari
Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani...
Naona mko poa ndugu zangu wana jf.... mwenye uwezo na hili suala naomba anisaidie jinsi ya kubadili blogspot yangu na kuifupisha iwe na .com pekeake
utundu wangu wote umegonga mwamba katika swala hili
Huwa najiuliza ili kuweza kuwa na free Wi-Fi..... Mfano kwenye vyuo vyetu
au maeneo yetu sehemu mbali mbali nini kinatakiwa kifanyike?
Nchi zingine wamewezaje? Ni lazima serikali ishiriki?
Wadau...
Kwa wale wanoitaji kwa na blog , Tunadesign Blog zilizo katika ubora Na Kwa wale wenye blog Tunauboresha Blog iwe katika hali nzuri katika muonekano na wa ndani na nje..Pia tunauza Web domain kama...
wakuu msaada tafadhali,baada ya hii mitandao kutufanya wateja wake kichwa cha mwendawazimu,hivi hakuna njia inaweza kufanikisha hili suala la Wi-Fi majumbani mwetu au mtaani,gharama zake huwa...
Wakuu heshima mbele,
leo natamani tutathmini kwa pamoja huduma zinazotolewa na hizi kampuni mbili.
1. Vifurushi
Zuku wana vifurushi vya aina 4: Zuku classic, Zuku premium, Asia classic na Asia...
Salamu zenu wakuu, nina tatizo la kulogin kwenye facebook account yangu, mara nyingi nikiwa natumia facebook kwa pc huwa na log out na kulog in huwa inakubali, bt asubuhi hii nimejaribu kulog out...
Ni kwa uwezo wa Mungu tumeweza kuiona siku nyingine mpya WanaJF. Tafadhali kwa yeyote ambaye amewahi ku-face hili tatizo na akafanikiwa kulitatua, basi atoe msaada maana mpaka sasa sijapata...
Wakuu poleni na majukumu, natambua uwepo wa mafundi laptop humu sasa shida yangu ni kuwa umeme umeniunguzia laptop yangu, Je nifate taratibu zipi kurepair power supply ya ndani ambayo probably...
Habari za asubuhi wadau, nilidownload theme kutoka mtandaoni lengo langu ni kuibadilisha ile theme niweze kuitumia kwenye website yangu nna nikafanikiwa kuibadilisha. Tatizo limekuja baada ya...
Jamani ehhh nishachoka na hawa followers wangu ni kidogo sana naombeni msaada wenu wakuu nataka nipate angalau followers 1000 tu watantosha mwenye maujanja naomba anielezee jinsi ya kuwapa
Habari,
Nilinunua Sony DVD Home Theatre( DAV - TZ150)na kila ninapoweka flash ili kucheza miziki ya MP4 formats ina display message " Video Frame not supported" na sauti unaisikia ila picture Ndio...
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyo, Tablet yangu ilikuwa slow sana nika amua kufanya factory reset. Yaliyonikuta baada ya kui factory-Reset kuna maandishi yanakuja. Bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.