Msaada nimepata tatizo kwenye website yangu

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari za asubuhi wadau, nilidownload theme kutoka mtandaoni lengo langu ni kuibadilisha ile theme niweze kuitumia kwenye website yangu nna nikafanikiwa kuibadilisha. Tatizo limekuja baada ya kuiupload Hii theme inafunguka alafu inaenda kwenye website ya wamiliki wake. Je kuna njia yoyote ninayoweza kuitumia kuondoa hili tatizo. Website yenyewe in HTML tupu pamoja name CSS na JavaScript na jquery. Naombeni msaada wenu.

Asante
 

Attachments

  • FB_IMG_1472114029714.jpg
    FB_IMG_1472114029714.jpg
    3.4 KB · Views: 62
Picha ndogo sana haionekani. Copy maandishi weka hapa.
 
Hhabari za asubuhi wadau, nilidownload theme kutoka mtandaoni lengo langu ni kuibadilisha ile theme niweze kuitumia kwenye website yangu nna nikafanikiwa kuibadilisha. Tatizo limekuja baada ya kuiupload Hii theme inafunguka alafu inaenda kwenye website ya wamiliki wake. Je kuna njia yoyote ninayoweza kuitumia kuondoa hili tatizo. Website yenyewe in HTML tupu pamoja name CSS na JavaScript na jquery. Naombeni msaada we nu. Asante
Inaonekana Ulijaribu ku remove footer credit... Kama ni hivyo Upload upya lakini usiitoe hiyo footer credit mana huwa wana ziset ukiitoa mtu akifungua inarudi kwake.
 
Inaonekana Ulijaribu ku remove footer credit... Kama ni hivyo Upload upya lakini usiitoe hiyo footer credit mana huwa wana ziset ukiitoa mtu akifungua inarudi kwake.
Nimejaribu kuiacha hiyo imegoma, hakuna njia yoyote ya kuweza kublock maana hii template ilikuwa inauzwa ila mimi nikaiba.
 
Nimejaribu kuiacha hiyo imegoma, hakuna njia yoyote ya kuweza kublock maana hii template ilikuwa inauzwa ila mimi nikaiba.
Kiukweli huo utaalam sijaujua labda uzipitie code za hiyo template kujua tatizo lilipo.. Au tusubir wataalam huku waje/Au kuinunua kama umeipenda
 
kwa nini usielekeze wafaidike watu wengi humu jamvini, watu kama nyie mnaboa sana.
Okay mkuu nataka niangalie hiyo template ndo ntajua izo code zimewekwa wap na wap ili nikizitoa template isialibike then ndo niwaambie jinsi zinavyotolewa mkuu au km vp aiweke apa iyo template niidownload alafu nizitoe izo code then niitume apa
 
Back
Top Bottom