Wakuu nawezaji kujua jina la mtu na mahali aliponipigia ikiwa kwenye simu yangu hakuna jina lake nimekuwa nikisumbuliwa sana na namba ambazo sizitambui.msaada kwa anaye jua
Nilikua naitumia kwa kipind kirefu sana lakini sasa hivi mwanga wa screen umezima kabsaaa japo kuw inafany kaz vzur lkn mwanga ndio tatzo lkn cha ajabu zaidi ukiwa unaiwasha PC mwanga unatokea but...
Habari wataalamu..
Hii inaeza isiwe ngeni lakini si mbaya kurudia ili kuwapa mwanga wasiojua kama mimi namna ya kubold, kuweka maneno yao kwene italics na pia kustrike through pindi watuamiapo...
Mwenye NAYO au kufahamu driver ya laptop dell ya kusaport line ili iweze kusoma na kuconnect ktk INTERNET katka computer aina ya dell D630 naomba msaada plz NATUMIA WINDOW 7.NAOMBA ANITUMIE HAPA...
Wanasayansi wamegundua sayari ambayo inakaribia sana Dunia kwa mazingira na ukubwa wake na ambayo inazunguka nyota ijulikanayo kama Proxima Centauri, iliyo na mfumo unaokaribia zaidi mfumo wetu wa...
Habari JF,baada ya kuhangaika mda mrefu hatimaye jana nimefanikiwa kuroot simu yangu ili niweze kuinstall app zenye uwezo wa kuhack games,lakin bahati mbaya sina ujuzi wa kuzitumia hzo apps kuhack...
Wadau,
Nina nyimbo kwenye laptop yangu. Bahati mbaya ili crash muda mrefu kidogo nimefanikiwa ku recover files. Baadhi ya nyimbo zinagoma kuplay (ziko kwenye format ya wav) nimejaribu kuzifanyia...
Wadau naomba kusaidiwabkstika hili, ninatumia tecno c9 kabla ya hapo nilikuwa natumia tecno f7 ambayo nilikuwa nikiitumia kuhamisha files toka kwenye pc na au kuingiza toka kwrnye simu, lkn toka...
Habari jf?
Naomba msaada jinsi ya kuzuia matangazo kwenye mtandao (adds). Unafungua website Fulani lakini vinatokea vitangazo vingi visivyo na maana kabisa. Naomba msaada kwa anayefahamu. Browser...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.