LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
wakuu msaada tafadhali,baada ya hii mitandao kutufanya wateja wake kichwa cha mwendawazimu,hivi hakuna njia inaweza kufanikisha hili suala la Wi-Fi majumbani mwetu au mtaani,gharama zake huwa zipoje kama linawezekanika ili nijiunge kwa ajili ya familia yangu na baadhi ya jamaa zangu mtaani,kwa mwenye ujuzi au uelewa wa hili anisaidie nnachotakiwa kukifanya ili nifanikishe hili,kuna mdau aliniambia niwacheki TTCL,ndio manguli wa internet supply kwa hapa nchini,naombeni muongozo ili mimi nijitoe muhanga,watu wanayaogopa haya mambo sababu ya kutokuwa na elimu nayo,ila inawezekana ikawa ni msaada kwa wengi wetu,dunia inabadirika,tubadirikeni nayo...