Wadau habari zenu, naombeni kujua jinsi gani naweza kuangalia East Africa Television on line (kwa simu), kuna kipindi nataka kufuatilia lakini mida yake inakwenda kinyume na ratiba zangu za...
Wakuu nimepata offer ya kuchagua simu moja wapo kama zawadi, ingawa sijawahi tumia hizo simu zaidi ya kuziona kwa watu.
Kwa wazoefu wa hizo simu naomba mnisaidie ni simu gani bora na yenye mvuto...
Simu uangu ya Huawei G6 - U10 ina limitation ya kuinstall apps mpaka 1070 mb tu, hata kama simu ina nafasi ya kuweka vitu vingine ie media, documents etc ya more than 1gb, lakini apps mwisho ni...
Helloww guys ,huu ni uzi maalumu kwa wale wadau wanaomiliki Blogs mbalimbali.
Hapa tutaweza kubadilishana mawazo,kupeana teknolojia mbalimbali za uendeshaji wa blogs,Jinsi ya kuingiza kipato...
Wakuu Kuna offer kabambe inaendelea sasa kwenye office zetu kama inavyoonesha hapa chini.
1.Webste designing +1 year hosting Tshs 350000/=
2.System or Database designing+1 year hosting plan...
Siku za kalibuni asilimia 90 ya simu zenye antivirus zimepatwa naatatizo mbalimbali ikiwemo kuzima kustack nk
KWANN ANTIVIRUS NDIO IWE CHANZO CHA TATIZO IKIWA NDO KINGA?
kila simu ya android...
Hii tatizo la tapatalk kutokuwepo kwenye App Store naona lina impact kwa wale walioUnistall hii app hawataoweza kuipata kwenye AppStore.
Na endapo utaiDownload kutoka Kwenye website ya tapatalk...
Habari wakuu kuna simu hapa tecno L8 ina hii cable inaitwa OTG sasa swali langu naweza kutumia modem katika internet,yaan nizime data alafu nitumie modem
Download manager ni andoid ambaye anashugulika na kudownload ktk simu yako ivyo pale anapoblokiwa uwa simu inaandika unfortunately google playstore stoped ili neno utokea mara kwa mara ktk simu...
Waungwana
Ninashida kujenga banda la uwani,, ni vyumba 3 kila chumba kikiwa na choo yaani self. Engineer kaniambia nimlipe mil 7 yaani kufikisha kwenye matoleo tu,,, then from there tuongee tena...
Mimi nime maliza kidato cha nne mwaka 2008 kama mnakumbuka miaka hiyo kulikuwa matokeo yakitoka huwanaweka namba tu sio majina kama siku hizi kama sikosei sasa mimi bwana sikumbuki namba yangu ya...
naomba msaada Wa kuckrack easy video maker 5.26 au software yoyote ya kuedit video nzuri kwa beginner ilimradi isiwe trial version..
natanguliza shukrani.
Kama nilivo jieleza hapo juu najua humu nyumbani kwetu kuna majibu ya takribama maswali yote ambayo watu ambayo yanahitaji majibu. Nimepakua (download) encyclopedia Britannica 2013 imenishinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.