Umeme umeniungizia Laptop Yangu..!

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Wakuu poleni na majukumu, natambua uwepo wa mafundi laptop humu sasa shida yangu ni kuwa umeme umeniunguzia laptop yangu, Je nifate taratibu zipi kurepair power supply ya ndani ambayo probably inaweza kuwa imeungua?

Maana laptop ilikuwa full charged but plugged in sasa ghafla nawasha imegoma kuwaka hakuna indicator yoyote hata niki-plug in nahitaji muongozo kabla ya kwenda kuwaona experts technician, mimi pia ni mtaalamu wa mambo ya telecommunication, asanteni.
 
hio adapter imeungua? sio rahisi umeme mwingi ufike kwenye laptop kabla adapter haijakufa. sababu laptop imegoma kuwaka umejuaje kama imeungua? umejaribu kutoa battery na kuirudisha?
 
hio adapter imeungua? sio rahisi umeme mwingi ufike kwenye laptop kabla adapter haijakufa. sababu laptop imegoma kuwaka umejuaje kama imeungua? umejaribu kutoa battery na kuirudisha?
Mkuu asante kwa ushauri wako, Sijui nini kilipata hii pc leo asubuhi nime turn on na imekubali
 
Back
Top Bottom