Kujisajili na google adense katika blog ya kiswahili

Mpenda kazi

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
188
Reaction score
113
Wadau habari

Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani nimejaribu wamekataa.
 
Huwezi kukubaliwa kwa blog ya kiswahili labda ufungue kwa lugha ingine halaf baadae uhamishie matangazo kwenye blog yako ya kiswahili na kwa sasa wanabana sana ningumu pia kutumia kwa blog ya kiswahili na hata kupata adsense kwa sasa ni swala gumu sana....

Hii ni msg walinitumia baada ya kugundua kuwa naweka matangazo yao kwenye page ya Kiswahili

Hello,

This message is to alert you that one of your websites is not currently in compliance with our AdSense program policies and as a result, ad serving has been disabled to your website.

Issue ID#: 65036801

Ad serving has been disabled to: xxxxxxx

Example page where violation occurred: xxxxxxxxxxxx
Action required: Check all other remaining sites in your account for compliance.

Current account status: Active

Violation explanation

As per our program policies, publishers are not permitted to place AdSense code on pages with content primarily in an unsupported language. This policy is in place in order to ensure the best possible experience for our users as well as our advertisers.

Action required: Check account for compliance
While ad serving has been disabled to the above site, your AdSense account remains active. Additionally, please note that our team reserves the right to disable accounts at any time if we continue to see violations occurring.

Points to remember:

  • The URL above is just an example, and the same violations may exist on other pages of this website or other sites you own.
  • You should review all the articles/posts on your site which satisfy the above criteria.
  • Make sure none of these articles/posts have ads displayed on the same page.

Appeals

If you wish to appeal this disabling, you can contact us via appeal troubleshooter below and referencing the issue ID listed above. Please refer to some of our most frequently asked questions about disabled ad serving.

Hivyo kama upo serious kuwa makini
 
Duh

Duh sasa ina maana wewe sasa hivi unatumia nyia gani nyingine kuearn money? maana mimi natumia affilate marketing ya AMAZON ila utaratibu wake ni mgumu sana ili kuweza kujiingizia income.
 
Wadau habari

Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani nimejaribu wamekataa.
Kuna account ipo tyr mi naiuza
 
Duh

Duh sasa ina maana wewe sasa hivi unatumia nyia gani nyingine kuearn money? maana mimi natumia affilate marketing ya AMAZON ila utaratibu wake ni mgumu sana ili kuweza kujiingizia income.
Ipo moja natumia ya kiingereza ila kuna moja ya kiswahili lakini bado hawajai Disable wakiizuia itabid nitumie tuu ya kiingereza hakuna namna.
 
Back
Top Bottom