Msaada jinsi ya kubadili blogspot kuwa free website

Msaada jinsi ya kubadili blogspot kuwa free website

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
611
Reaction score
641
Naona mko poa ndugu zangu wana jf.... mwenye uwezo na hili suala naomba anisaidie jinsi ya kubadili blogspot yangu na kuifupisha iwe na .com pekeake
utundu wangu wote umegonga mwamba katika swala hili
 
unanunua domain ya .com halafu unailink na website yako, domain unaweza nunua kwa mawakala hapa nchini au kununua mwenyewe online
 
unanunua domain ya .com halafu unailink na website yako, domain unaweza nunua kwa mawakala hapa nchini au kununua mwenyewe online
yap domain nimeipata tayari sasa nashindwa jinsi ya kuilink na website yangu
 
Back
Top Bottom