Avafind ina-crash kwenye Windows 8/8.1

BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
572
500
Ni kwa uwezo wa Mungu tumeweza kuiona siku nyingine mpya WanaJF. Tafadhali kwa yeyote ambaye amewahi ku-face hili tatizo na akafanikiwa kulitatua, basi atoe msaada maana mpaka sasa sijapata desktop file search nzuri kama Avafind.
Shukrani.
 
COBOL

Senior Member
Dec 21, 2013
111
250
Ni kwa uwezo wa Mungu tumeweza kuiona siku nyingine mpya WanaJF. Tafadhali kwa yeyote ambaye amewahi ku-face hili tatizo na akafanikiwa kulitatua, basi atoe msaada maana mpaka sasa sijapata desktop file search nzuri kama Avafind.
Shukrani.
labda ujaribu kutafuta(kama ipo) the latest version...
 
nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,164
1,500
hilo tatizo la kucrsh ava find kwny win 8 limenitokea na hadi sasa nimejaribu kuingia website yao Think Less Do More Software haina updates zozote since 2009 sijui ndo imekufa! nimedownload desktop file search zaid ya kumi but sijaona zaidi ya ava find.
 
BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
572
500