naomba contact zao kama uko nazo niwasiliane nao maana mie si mwenyeji sana hapa dar
Asante Mkuu
Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
Mkuu hawa hutengeneza SIMU pia? Nina Nokia lumia 635 haisomi Sim card.
hapana sitengenezi simu. lumia 635 ni version ya lumia 630 yenye 4g lte, nyingi zimelokiwa mitandao ya nje umejaribu kui unlock?
Sijaongelea wewe mkuu namaanisha hao uliowasema midcom....
Ni kibati cha kwenye simcard kimeleta shida
oh sorry sikuona vizuri. hao ndio wahusika wa lumia zote wanatakiwa wawe wanafanya hizo repair, hata kama hawafanyi basi watakuelekeza kwa kwenda. sema bei zao zipo juu kidogo ila ni safe kuliko mafundi mtaani
Umefanikiwa, kama bado nikupe personal namba ya muhusika kabisa, wako vizuri saaan midcom, nilisha badilisha hapo mara mbili lumia yangu 820.
Vipi kariakoo aggrey sh 45000 original anakufungia kabisa kama hujapata bado sema
bado ila nitashukuru sana kama utanipa number ya mhusika maana nimejaribu mara nyingi sana number yao bila mafanikio
poa ila nawasiwasi na kama anatoa warranty na guarantee maana bila hicho naogopa sana mafundi wa mtaa I maana waweza kuwa kimeo chake bila kujua kila baada ya muda unarudi akupe kingine??? nipe uhakiki wa hivyo nilivyouliza and I do business with him
mimi ninayo 630 ime lockiwa mtandao je wapi naweza ku unlock kwa bei rahisi maana hawa ninaokutana nao bei zao zaidi ya laki mojahapana sitengenezi simu. lumia 635 ni version ya lumia 630 yenye 4g lte, nyingi zimelokiwa mitandao ya nje umejaribu kui unlock?
muone Mwl.RCTmimi ninayo 630 ime lockiwa mtandao je wapi naweza ku unlock kwa bei rahisi maana hawa ninaokutana nao bei zao zaidi ya laki moja
Thanks kiongozi ndo nipo kuzisoma nondo zake jf kisima cha yote thanksssssmuone Mwl.RCT