Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Good morning jamii forum. Sasa unaweza kwenda live kwa kutumia account yako ya Facebook. Yaani unaweza kushare na watu kile unachokifanya ukiwa live na marafiki wako wa Facebook wakakuona...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hiv hii hiOs inacrash kwangu tu au kwa wote daaa bora laki zangu mbili ningenunua obama zilizobaki ningenywea gambe tu najuuuuta kuifaham
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikuwa na scan kwakutumia 360security, ghafra screen imekuwa black and white. Msaada ndugu
0 Reactions
9 Replies
902 Views
Nawasalimu wadau, naomba kuuliza, juzi nilisimamishwa na trafic nikaambiwa nimeoverspeed kilometa 2 toka walipo na barabara ina kona na milima, nilipo wauliza wapi, jibu umepigwa touch kwa nyuma...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
1. Chukua smartphone yako au tablet yako 2. Nenda kwenye settings 3. Shusha chini kabisa itafute "About phone" au "About tablet" 4. Kisha bonyeza hiyo "About phone" au "About tablet" 5. Halafu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, Naomba msaada nikidawnload baadhi ya app kuptia play store huwa hazitokei natumia simu huawei 360y3.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada hapo tafadhari file la total video covernt now nikicki halufunguki wananiambia please register your total video covernt
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari ndg wanajamvi Leo hii nimehama nyumba kwaajili ya kuchange mazingira hivyo nikawa nimefungua dish langu la startimes sasa katika kulifunga tena upya nimejaribu kusearch channel lakini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar za mda huu, aliyewah kutumia vodacom power tab 10 is it worth to buy?
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wataalam wa IT, msaada jamaan nimeweka ads kwenye website lakin inaonesha blank. Sijui nini tatizo
1 Reactions
3 Replies
688 Views
wakuu nifanyaje ili niweze kuupgrade hyo simu to lollipp?
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Jamani naombeni msaada tafadhali, nina samsung yangu S3 kwa muda mrefu nilikuwa nikitumia mtandao wa tigo nikiwa Dar. Nilipotoka Dar kuja mkoani tigo ikawa inanisumbua internet haipo vizuri...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Simu inaonyesha mistari ya ajabu ajabu inayobadilika badilika, ni techno! Je nini suluhisho lake wadau
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Samahan kwa anaejua faida na hasara za kuroot simu bila computer anijuze. Simu yangu ni it1505 lollipop.
1 Reactions
2 Replies
811 Views
Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
2 Reactions
4 Replies
2K Views
1.Nauliza kama adapter ya laptop ikiharibika inaweza kutengenezeka? 2.Nina adapter haiingizi chaji kwenye betri ila inauwezo wa kupower computer, je tatizo ni nini na ntalifix vipi? 3.Simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba kuuliza kama unawazo la kiteknolojia na unataka kujua kama hicho kitu kilishagunduliwa na mtu unafanyaje kujua
0 Reactions
1 Replies
878 Views
hivi hizi xposed apk ktk android si huwa na virus.... maana mfumo mzima wa kuroot na kuingiza xposed apk me nauogopa kabisa na kingine nnachokiogopa ni boot animation nilifuta neno tecno nikaweka...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Habari zenu wataalam.Simu yangu imeanza ku-misbehave.Kuna message ambayo nilitumiwa ya balance kama wiki mbili hivi zilizopita.Kila nikitumia USSD code zinaingia kama tatu kwa mpigo.Halafu pia I...
1 Reactions
3 Replies
796 Views
Back
Top Bottom