Tecno L8: Je, ipo vizuri?

mwalukuni mchanyato

JF-Expert Member
May 15, 2013
404
230
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
 
Ni simu nzuri sana.inauzwa 260,000 orijino.ila haijaungwa na mfumo wa 4G ila inaspidi nzuri sana tu ya 3G.
 
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.

Habari ya sasa kwa TECNO LIMITED ni simu toleo jipya inaitwa Tecno Boom J8 ni nzuri sana inapatikana kwa bei ya 350,000.
 
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
Hakuna tecno nzuri mkuu..
 
Tecno bwana. Japo wachina tunawakarbisha daaah ila kuna mda bna inabdi bule tuite blue wanakera sanaa. Hzi simu zao zinakera sana. Japo yana maumbo makubwa
 
yale yote yanatokana mfumo wao mbovu wa hardware hasa ile internal memory ambayo inatunza software zote huwa hatabiliki inakufa muda wowote.
Ambae anayo, tuwasiliane... nataka niinunue kotoka kwamkono wa mtu.
 
Mie natumia l8 plus, kuna version mbili l8 na hiyo plus iko vizuri sana hasa hasa battery utaifurahia sana, nilikuwa natumia Samsung Galaxy battery ikawa inasumbua sana ila kwa hii l8plus nimeridhika sana
 
tecno boom J8 iko vizuri sana hasa battery yake inamudu mikimiki ya internet na kudownload
 
Tecno siyo najua ikiwa mpya ni nzuri ila ikianza kuchoka .utarudi hapa kuomba msaada
 
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
Tecno ukinunua unaweza ukaziona poa lakin baada ya kama mwaka mmoja mauzauza yanaanza
 
Back
Top Bottom