Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyo, Tablet yangu ilikuwa slow sana nika amua kufanya factory reset. Yaliyonikuta baada ya kui factory-Reset kuna maandishi yanakuja. Bahati mbaya elimu yenyewe ya kuungaunga kwa hiyo sijajua maana yake, ila hiyo tablet bado inafanya kazi.
Pia nahisi itakuwa tatizo maana mwanzo halikuwepo jambo kama hilo.
Tablet yangu niliroot ila nilivyo factory-reset siku-uninstall rooting.
Tatizo linaonesha kwenye hii screen shot
Hiyo screen shot ya chini ni king root nayo imegoma kabisa.
Chief-Mkwawa Hans Pol na wengine wote.
Nisaidieni.