Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Nina jamaa yangu yupo Canada na anasema kuna simu nzuri na bei yake ni cheap. Ila hizo cheap phone ziko locked na network provider wa huko. Anasema mfano, simu nzuri unaweza kuta ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wapendwa,naomba mwenye ufahamu wawapi naweza kusomea ufundi simu,software na hardware,gharama ya course n.k.nipo dsm
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya weekend jana nimenunua simu ya tecno L8 ndani ya box nimekutana na hii cable nilikuwa nataka kujua ina kazi gani
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Kampuni ya Finland Elisa inasema imefanikiwa kupata kasi mpya ya Gigabait 1.9 kwa sekunde, ikisema hiyo ndio kasi ya juu zaidi kuwahi kupatikana. Huduma hiyo ya simu yenye kasi zaidi inaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wakuu naombeni msaada wa kuroot simu tajwa hapo juu sony xperia Z3 ambayo ipo kwenye marshmallow version, nimetumia kila version ya kingroot ila kila inapofika...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Leo niliamua ninunue laini ya hawa jamaa nijaribu ubora wao kwenye internet kusema kweli wamekidhi vigezo sijawahi fikia speed hii kwenye modemu, shida vocha zao tu zinasumbua mpaka urushiwe...
1 Reactions
191 Replies
37K Views
msaaa jinsi ya kupata cash card na bei yake
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Jamani kwa mara ya kwanza leo nimeona tangazo TBC kuhusu simu za Smathphone Aina Ya Startimes,naombeni msaada je zina ubora wowote au ni mchina tu.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu wana jf. Najua humu kuna wataalamu wa sm. Mimi kisim changu kina zima na kuwaka ghafla pindi niitumiapo naitumia, Ikisha zima huanza mwanzo Nime restore Mara nyingi mno Lakini wapi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habarini. Hivi group kwa WhatsApp ndo wanatengenezaje. Na link ya kuwalika watu ndo unaipataje. Msaada wenu tafazali.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Natumia galax s3. Nilicopy kitu namaambiwa "copied in clipboard. Kila nikitafuta nilichokicopy sikioni kwenye cm. Hii clipboard iko wapi kwenye cm yangu? ushamba kweli mzigo
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu wa hili jukwaa nakuja kwenu kuomba msaada...nimenunua huawei mate 8 mwezi uliopita ila mpaka sasa naona kama siifaidi vile maana nshazoea kuroot simu zote nitumiazo...naombeni msaada wenu...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Naomba anayejua app kwa ajili ya kustream channel za ndani japo chache anijuze.
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Wakuu naombeni msaada wa codes jinsi ta kuangalia namba ya simcard kwa mtandao wa tigo. Nimerithishwa mobile wifi ya tigo na huyo alienirithisha hakumbuki simcard number. Pia kama kuna uwezekano...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jana Nimepokea Mzigo wangu kutoka Ebay Ingawa Mmoja Bado Hujafika na Unekamilisha Mwezi Sasa Hivi... Sasa Kuna Jamaa Yangu Mmoja Jana Hiyo Hiyo Akawa Amenipigia Simu Tukapiga Story mbili Tatu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wakuu, ni wap naweza kupata microsoft lumia 950/950xl hapa dar maana online (jumia,kaymu,kupatana) zijaziona ?
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Wadau nilikuwa sijalipia kingamuzi cha startimes muda mrefu. Nimelipia 10,000 Ila hakuna hata channel moja imefufuka. Nawaomba maujuzi.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimerudi tena waungwana, nashukuru kwa wale walionishauri kuhusu king'amzi changu cha startimes. Nimeleta fundi ikaonekana decoda ndo mbovu maana haiwasiliani na dish maana yake haiditect singnal...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya majukumu wana JamiiForums, simu yangu imefuta namba za simu, message za whatssap na picture na mambo mengi. Naomba mtu mwenye kujua application ya ku-restore ya kuvirudisha vyote viweze...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
WAKUU. Ninaandaa document muhimu ambayo inahitaji kuweka yaliyomo (Table of contents). Nikiri kuwa mimi ni mtumiaji wa kiwango cha kawaida cha Ms office hivyo napata tabu kidogo katika hili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom