facebook login probem

facebook login probem

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Salamu zenu wakuu, nina tatizo la kulogin kwenye facebook account yangu, mara nyingi nikiwa natumia facebook kwa pc huwa na log out na kulog in huwa inakubali, bt asubuhi hii nimejaribu kulog out, najaribu tena kulog in imegoma, inakuwa inanirudishia ile page ya kulog in, haisemi either kama nimekosea password au email, sijui tatizo ni nini wakuu, naombeni msaada kwa hili, Asanteni!
 
Back
Top Bottom