Naomba msaada wenu cmu yng tecno H6 haikubali kukaa default zero launcher!!
Nina tatizo kama hilo ila mimi ni kwa tecno boom j7. Haikubali nova launcher kuwa default. Msaada plz
Chief Mkwawa...... Hii kitu imegoma nimedownload, extract and install lakin bado vilevile. Nimeingia kwenye google kujaribu kuona wengine wanafanyaje nikakutana na maelezo kwa tecno boom j7 ina launcher ambayo huwezi kuweka third part launcher ikawa default zaidi ya ile tecno launcher.
Sijui Chief chief kama unambinu nyingine
NB: cja root cm yangu
Jaribu kutumia hii module Tinted Translucent Status BarPia naomba msaada kwa lg p880 nashindwa kupata transparent stutusbar ktk home screen, inakubali ktk locksreen. Nimetumia xposed installer framework na app kama gravity box for jellybean, xblast. Zote zinakubali kuweka transparency kwenye locksreen tu. No per app or home screen. MSAADA PLEASE