Haina jinsi zaidi ya kuyabadili mafaili maana hiyo DVD haichezi hizo format
Tumia Format Factory and convert to MPEG (or any supported format) ingawaje huwa hainipi flavor kwa converted files. Unaweza pia ku-include na subtitles while converting!Duh! Sasa si itapunguZa video quality? Unaweza nisaidie upatikanaji wa hiyo Total Video converter software? Nina super video converter Lakini haina ufanisi na ilikuwa trial version so imekwisha.
Hapo tatizo siyo format, tatizo frame rate. Kuna baadhi ya DVD players haziwezi kuplay video yenye framerate zaidi ya 30fps. Kwa hiyo kama una user manual unaweza ukaangalia kwa uhakika zaidi.Habari,
Nilinunua Sony DVD Home Theatre( DAV - TZ150)na kila ninapoweka flash ili kucheza miziki ya MP4 formats ina display message " Video Frame not supported" na sauti unaisikia ila picture Ndio haionekani.
Naomba msaada jinsi ya kurekebisha.