baba kayla
Member
- Mar 28, 2016
- 78
- 42
Jinsi kupata free domain bila kulipia msaada!!!
Mkuu kwanini usinunue tu ili uwe na domain ya kwako ambayo utajichagulia jina yofauti na hizi za bure lazima jina utachaguliwa. Kuna web site kama vile www.gobaby wanauza domain name kwa pesa ndogo tu.
jinsi kupata free domain bla kulipia msaada !!!!
Kupata free domain kama .TK, .GA, .ML ingia www.freenom.com ila ukitaka cheap domain kwa $ 1.75 utapata kupitia link <<BOFYA HAPA>> Kwa Godady na www.1and1.com utapata kwa bei nafuu sanaJinsi kupata free domain bila kulipia msaada!!!
Ndio inawezekana, iwapo utalipiwa.je naweza kulipia kwa mpesa hyo domain maana hzo njia za pay pal czielew vyema
Ukifuatilia kwa ukaribu, utaona hii amount ya usd0.99 ni kwa mwezi na unatkiwa ulipie miezi 12 (mfano GoDaddy)domain mwaka wa kwanza ni cent 99 tu, kama elfu mbili hivi za kitanzania. sidhani kama itakushinda.
Inabidi Ukumbuke Kitu kimoja hapo 1&1 and Godaddy Mwaka wa Kwanza ndo wanakuuzia Domain kwa ~1$ baada ya mwaka wa kwanza ni around 10$ kupanda juu mpaka 14$ kwa Mwaka!Ukifuatilia kwa ukaribu, utaona hii amount ya usd0.99 kwa godaddy
au usd 0.88 ni kiwango cha mwezi, na inatakiwa ulipie kwa muda wa mwaka mmoja.
Hivyo hii gharama ya usd0.99 iko kibiashara, kiuhalisia hakuna.
Pia kampuni nyingi zinatoa BURE domain ya .com iwapo utanunua hosting toka kwao.
Nimefanya tafiti kupitia
- ehost
- arvixe - Nimesajiri domain kwa kulipia hosting
- namecheap
- godaddy - nimesajiri domain kwa kulipia hosting
![]()
![]()
mkuu nishanunua domain 4 mpaka sasa kwa cent 99 sio fee ya mwezi ni ya mwaka. ila ni mwaka wa kwanza tu ndo unapata punguzo hilo. mwaka wa pili still lipo punguzo sema sio asilimia nyingi inakuwa kama asilimia 30 hiviUkifuatilia kwa ukaribu, utaona hii amount ya usd0.99 ni kwa mwezi na unatkiwa ulipie miezi 12 (mfano GoDaddy)
au usd 0.88 (mfano Namecheap) ni kiwango cha mwezi, na inatakiwa ulipie kwa muda wa mwaka mmoja.
Hivyo hii gharama ya usd0.99 iko kibiashara, kiuhalisia hakuna.
Pia kampuni nyingi zinatoa BURE domain ya .com iwapo utanunua hosting toka kwao.
Nimefanya tafiti kupitia
- ehost
- arvixe - Nimesajiri domain kwa kulipia hosting
- namecheap
- godaddy - nimesajiri domain kwa kulipia hosting
![]()
![]()
Hii nadhani ndio factor iliyozuia nisipate domain ya pili kwa hiyo amount $0.99.Ikumbukwe unaponunua domain hizo site mbili Card yako au PayPal yako inakua marked ukijaribu kutumia hiyo offer wanastukia!
tafuta coupon ya punguzo la asilimia 99 hata ununue domain 10 kama ni mwaka wa kwanza unapata punguzoHii nadhani ndio factor iliyozuia nisipate domain ya pili kwa hiyo amount $0.99.
Sababu tayari nilisha pata BURE domain ya kwanza kwa kulipia HOSTING tu.
View attachment 388802