Most men have this problem of desiring any lady they see who crosses their line of sight. A man may decide to stick with a certain lady today, but the next day another lady may appear to be more...
Dear Alcohol,
I thought I'd take a minute to discuss some troubling factors with you. First and foremost, let me tell you that I'm a huge fan of yours. Your many sides and dimensions are...
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume...
Wandugu.......!
HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA!
kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki
nina HASIRA KALI inayotokana na...
Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake...
Nimeanza kuishi na huyu mwanamke toka mwaka 2007 wakati huo tulikuwa tunaishi kama wapenzi na tulikuwa tunatembeleana tu yeye akiwa Dar na mimi nikiwa nafanyakazi Mbamba Bay lkn ilipofika mwezi...
Kuna jamaaa ambaye ailkuwa na mke yuko bizena kzi na kila kitu ni house gal... Ikafika muda ukafika mume akata kusafiri kwenda kijini kwao na watoto kusalimu wazee ..akaweka kikao na mkewe na...
Jamani huku kunanini?mbona new members wamekuja na speed yakutafuta wanajamii ili wa do ze nidif au nyie ndo vidume kuliko sisi kakazenu mliotukuta??huko mlikokuwa hakuna??Pili mbona sijasikia...
Baada ya Uchaguzi Mkuu, uchangiaji wa mambo ya mapenzi umeshuka kwa asilimia 98. Hata majumbani kwetu muda wa kufanya mapenzi umepungua kwa zaidi ya sailimia 80. Mazungumzo na majadiliano yote...
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?
9 Simple Things Women Want
By YourTango.com
Besides the meaning of life and the ingredients of hot dogs, many a man has questioned, "What exactly do women want?" We're not playing coy here, we...
Hivi nikwamba bila kutoa ze nidful wakati mmekorofishana na mwenzi wako bifu haliishi nikwanini??Iwe kwa mume/mkee nini kipo katika hizi tool??Maana mwanmme akikasirika akipewa tool magoti...
Niko Mji tajwa hapo juu ki-wajibu zaidihadi Ijumaa... ila ningefurahi kama ningekutana na walau Mwana JF 1 kwa wakati 'mwepesi'!!!
Tanga Kunaniiiiii....?!:evil:
Yaah, nataka kuoa binti mdogo dogo, lazima awe kigoli na sio ambae amechezewa ! kama amechezwa sawa (ngoma).
Sasa kama wewe ni binti, then unafit katika hiyo category niliyotaja, jimwage hapa...
Wandugu,
Hata kama CCM ikishindwa...hii tume yetu ya NEC haifai...napendekeza iundwe Independent Electoral Commision of Tanzania (IECT)...sasa tuanze mjadala iwe na muundo gani kisheria na...
Jamani hivi ndoa hii iko salama kweli. Wameenda kwa shangwe kupiga kura ya udiwani, kura zimehesabiwa kura ya mama iko moja tu ya kwake, mumewe hakumpigia kura! Ndoa iko salama au ni siasa tu?
This is a very depressing statement to tell someone,
especially coming from someone you are intimate with
i am so depressed this morning i dont think i can work
i am only 24 young...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.