WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Nov 3, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wandugu.......!
  HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA!

  kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki


  • nina HASIRA KALI inayotokana na kukisikia nisichokitarajia kwenye vyombo vya habari!
  • nina amini kwamba TUNAONEWA na hawa ''metropolitan'' politicians!
  • nina SIKITISHWA SANA na tabia ya wakazi wa dar kujiandikisha halafu KUTOPIGA KURA
  Hali hiyo inanisababishia:


  • kuiona BIA chungu kama SIFONGO
  • kuiona valuu inatisha kama SUMU
  • kupaona BAA kama jehanamu
  • kuichukia hata redio ya ''tukutuku'' langu siku hizi siwashi redio tena
  Kwakweli wapwaaz nipo kwenye wakati mgumu sana yani....

  ushauri tafadhali!.....

  NI MIMI KATIKA UTEKELEZAJI WA ''SHERIA-MAMA''
  Baba Gift
  The king
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Mi hili liwiki limeniuzi sana

  hata infii nazo zilikuwa haba...kila unayemtafuta unakuta yuko bize na Halima Mdee. Ukija JF wapwa wote wamechakachuliwa na siasa. Ukirudi home, bimkubwa yuko bize na Slaa. Ukimtafuta matesha yuko bize na homuweki. Ukiwasha TV machaneli yote yako bize na kumtangaza Kikwete ndio mshindi........... Agrrrrrrrrrrrrrrr:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Na hapa jf Invii kafunga kile chumba cha maongezi....:A S angry:....
  Ila cha kufurahisha....kulikua na sababu ya kuchelewa kurudi nyumbani....kulinda kura zetu zisichakachuliwe...
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahhah Baba Gift...... pole mwaya hivi hata kina eliza unawaona wachungu? au nao wako kwenye uchaguzi lol

  Babu hahhahah infii wako kulinda kura na kuchakachua ili mhishiwa arudi madarakani kwani alikuwa anawatengenezea mazingiza mazuri ya infidelity.........
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo limeniudhi sana. Michakato ya kutafuta infii ilipungua kasi bana.

  hebu cheki na invii mwambie JK kashashinda aturudishie chumba chetu:hippie:bowl::bowl::bowl:
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!
  hata mary munisi nae alikuwa analinda kura kerege
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  wee umelaaniwa
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wakina eliza woote hawapatikani kwa sasa
  gest nazo zimejaa wanasiasa tu
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mbaya hata sijachukua hata namba ya :cell: kwa ajili ya Plan C....:A S angry::A S angry:
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uchakachuaji sio?

  Walaaniwe wote wanao chakachua matokea na wafe kibudu
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu tukishawalaani itakuwaje?
  maanake kuna vitu vinataka ''juhudi za makusudi'' kuvikabili

  HIVI KWELI MKUU JIMBO LA SEGEREA wamejiandikisha watu 150,000+ na waliopiga kura ni 50,000?inaingia akilini hiyo?
  hapo mzee ukirud hme unaweza jikuta unamzibua kibao waif bila kosa
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Josephina akishatoka kaunta anawahi Kawe kulinda kura za Halima.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!
  hakuna kabisa muda wa ''ku-do the needful''
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahaha!
  hapo nadhani ni makosa madogo ya ki-mtandao tu!
  nimediliti haya na wewe diliti
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mkuu sasa hapo walio piga kura kama ni 50,000 subili usikie kura za urais unaweza kuta zinazidi za walio piga kura
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  This message has been deleted by Baba Gift.
  Reason
  haiko mahala pake


  Ewaaaaaaaaa! Sasa tuendelee na lojistiksi. Josefina ulifanikiwa kuchukua namba zake? Yule bana nna mpango wa KUOA kabisa.:smile-big::smile-big::smile-big:
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  enewei........
  kuna moja ndo imenidisapoint zaid

  waliojiandikisha 300,000
  waliopiga kura 49,000
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu utaoa MARA NGAPI?
  hehehehe!
  lakini ile baa mpya ile haya bana!

  hivi una namba ya meneja?
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Hivi kuoa kuna LIMITS kama kwenye calculus?:nono::nono::nono:
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkuu naomba ukafute pale uliponinukuu kwenye ile post niliyochanganya habari.....

  again
  hakuna sheria inayoumruhusu INFIDELATOR kuoa mara mbili au zaid
   
Loading...