Mlioolewa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlioolewa....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Oct 28, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaaa ambaye ailkuwa na mke yuko bizena kzi na kila kitu ni house gal... Ikafika muda ukafika mume akata kusafiri kwenda kijini kwao na watoto kusalimu wazee ..akaweka kikao na mkewe na huse gal.. akamtaka mkewe achague moja...

  -Anaenda kijini na mkewe, watoto wanabaki na house gal nyumbani" AU
  - Anaenda kijijini pamoja na watoto na house gal, mke abaki nyumbani.

  Mke kageuka mbogo akohoji kwani mume afanye maamuzi hayo.... mume kasema kwajinsi familia yao ilivyo, anaona House gal ndo mke..!!Mke akaitisha kika cha wanadugu kushati, maamuzi ya kikao yakampa ushindi mwanaume..!!

  INGEKUWA NI WEWE, MAMA MWENYE NYUMBA, UNAAMBIWA KAULI HIZO HAPO JUU... UNGEFANYAJE?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mhhh simo, MJ1, Nyamayao, Rose1980, Pearl, FixedPoint, FL1, ngoja waje kwanza
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda, lakini hata tuliooa tungekushauri jambo hapo!
  Pia kuna ile chama kubwa ya ISC, wangeweka inputs zao kwa mtizamo wao!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Si unaona wahusika wanasepa!
  mMOJAWAPO NI HUYU NILIYEmnukulu hapa juu!...Wanazijua sana za hivo hao!
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kukubali kubadilika na kutimiza wajibu wangu arejee kujua maana ya ndoa hamna kitu rahisi
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha PK mwezi ndio unaisha hivi mchango wako wa mwezi kwenye chama chetu umeishauwakilisha kama bado hebu wasiliana na Katibu u du the nidful mimi nitakuletea risiti yako
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Goosh, mi simo humo broda!...:A S-cry:...
   
 8. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo ujue mtu alikuwa anatega wajibu wake. Ili kuendelea kutega inabidu kupiga mzigo chini HG aongoze mashambulizi
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Wewe nani wewe sijui....... eh mkeshahoi unajua wanawake wengi tunajisahau..........maisha ya ndoa ni sehemu ya maisha kwa ujumla haimaanishi kuwa ukiolewa kisha ukawa na kazi ambayo ni very demanding basi usacrifice ndoa yako..... hii inatakiwa iwe sehemu ya ndoa na ndio maana kuna wakati inatubidi tusacrifice maparty ya ofcn kwa kuwa tunahitaji muda kuwa na KUHUDUMIA familia zetu. Na pia ni muhimu pia kunurture our love with our spourses......... ni kupanga tu utaratibu wa maisha .kazi za ofcn unafanya hadi saa kumi na moja kisha unaacha everything ofcn ukija nyumbani ubosi wako wa ofcn, laptop na ubuzy wake unaviacha kwenye mlango ukiingia ndani wewe ni mke na mama wa familia.

  Huyu dada alikosea sasa mume ana haki ya kuamua alichoamua. but swali langu ni je walishawahi kukaa chini na kuzungumzia maisha yao yalivyo? Kwa sababu kama hawajawahi kukaa na kume kuchukua maamuzi haya ni kosa kwa kuwa mimi MJ1 nikiwa nafanya kitu wewe hulalamiki I will assume you are ok with it as long as matunda yake unayaona (unless unambie huyo mama mshahara wake haukuwa unaonekana)
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  MJ1, ni kweli mwanamke unaweza kujitahidi lakini maisha ya ndoa siyo rahis...Very complicated.

  Pia wanaume tunatakiwa kubadilika sana. Inabidi tuanze kuangalia wenzetu wanaishije iwapo wote mume na mke wanafanya kazi za ofisi na wote waleta kipato kwenye familia. Tabia ya kumwona mke kama punda kwamba mkirudi kazini akimbilie jikoni na kazi nyingine za ndani ni mbaya sana. Sidhani kama mama huyo ana makaso kiasi cha kudhalilishwa na huo upuuzi wa house girl. Labda kama ni mtu wa viwanja na larger. I seriously don't support this and I can't treat my wife like that or compare her to a maid.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  In Red- You can say that again kaka yangu marriage life is very complicated I admit.

  I agree to you too kuwa wanaume wanatakiwa kubadilika but nafikiri si kitu rahisi kama tunavyofikiri. Mfumo mzima wa malezi unapelekea kumweka mwanaume katika position hiyo ya kuwa mke ni kwa ajili yake na sisi kwa kuwa tangu mwanzo tumelelewa hivyo tunajisikia tu ni wajibu wetu. Tumeshaathiriwa na malezi toka enzi hizo za mababu zetu.

  Sikatai kuwa kuna wanaume walio tofauti DC infact nawaonea wivu wanawake walioolewa na waume waelewa. But kesi ya huyu hadi kufikia kutoa suggestions hizi ni wazi kuwa si mwelewa na inawezekana kuwa kuna a lot of factors ambazo zinachangia yeye kuwa hivyo.............DC naomba nikuswalike swali

  ......Would you understand kama wifi anakuwa buzy kiasi hicho wakati huoni matunda ya ubuzy wake? kwa sababu ninaamini kabisa kama mwanaume anaona matunda ya mkewe kwenye maendeleo ya familia yake ni wazi atakuwa mwelewa ni matter how ignorant he is......

  Nina rafiki yangu mdada kutwa kucha ni safari yaani akipumzika sana Dar ni wiki moja but muda wote yeye na mabasi/ndege but mumewe i.e. shemeji yangu anakiri kabisa kuwa kama si mkewe wasingekuwa walipo sasa and he appreciate

  YET
  My very own auntie. ni mwalimu hapa hapa Dar, anafanya kazi, yuko kwenye kamati za kusahihisha mitihani, anasimamia chaguzi mbali mbali e.t.c yuko buzy kupita nyuki mwenyewe kiasi kwamba hata kitanda chake na mumewe anafanya kutandikiwa na housegirl yaani yeye hajui hata ana pear ngapi za mashuka, kijitaulo kile cha siri anafuliwa na mtoto wa kazi maana mama anakurupuka asubuhi kuwahi kazini akirudi ana makaratasi anajifungia study room kazi yake kuuliza watoto wamekula? wameoga? wamelala?....baba umemwekea maji ya kuoga? chakula? e.t.c lakini kilaaa kitu ni baba anagharamia mpaka nauli yake mama ya kwenda kufuatilia madeni ya upatu.

  Sasa mmama wa hivi jamani hawi mzigo??
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huo ndo ukweli ingawa watu hawataki ku-admit...Hakuna ndoa rahisi. Kama ipo hiyo ni feki..I can repeat that a 1000 times

  Sisi wanaume..we either agree to change or we will be forced to. Sasa kama wote mnaenda job saa 11 nani atamwambia mwenzake awahi kuwaandaa watoto kama siyo kuamka mkasaidiana?

  Hakuna mtu anaweza kuelewa upuuzi huo hata angekuwa mke..Yaani unafanya biashara isiyo na faida..ya nini sasa? If she works...lazima tuone kitu gani kinaendelea..ama anajihudumia mwenyewe (kama kipato ni kidogo) au tunachangia maendeleo ya famili. Hivyo ndivyo ninavyoishi na naamini ndo inavyotakiwa.

  Mke wa hivyo wala simtaki kabisa...Kama kazi anafanya basi hata matunda ya hiyo kazi inabid familia iyaone...la sivyo abaki nyumbani tu aangalie movies za Kinigeria!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh mi sjui jaman........SIJAOLEWA JAMAN mie msinitwishe majukumu hayo mazito
  bt ova ma ded bod mume wangu hawez kunisananisha na med
  dah
  god help me to fulfil ma duties as mumy n wise wife ili kikombe kiniepuke!!!!
  hpfully ayatakuja kuntokea km aya.....bt stl STAKUWA MTUMWA KWA MUMEWANGU
  NTAKUWA RAFIKI AKE SO SZAN KM ATANPELEKSHA KM MIMI VILE NI PESRSONAL MED WAKE LASIVYO...........!!mungu nsaidie
   
 14. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  SOLUTION...... hakuna mtu kwenda kijijini
   
 15. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  you can never learn less,you can alwaz learn more,mm ningekuwa huyo mke,ningeomba msamaha kwa mume wangu kwa kutotimiza wajibu wangu,pia ningemuomba msichana wangu msamaha kwa kufanya kazi zisiso zake,ningehaidi kujirekebisha na pia kwenda kijijini na mume wangu!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  MJ1 well said katika maisha ya ndoa ni muhimu sana ku-sacrifice wengi wakirudi nyumbani wanakuwa hawana muda na waume zao au watoto vitu vingine vinaishia kufanywa na house girl ni muhimu sana kwa pande zote mume na mke kukaa na kuzungumza ili kuangalia jambo lipi la muhimu kama ni kazi ofisini ina muda wake na kama ni jambo linalohusiana na nyumbani basi ni vyema kila mtu akatimiza wajibu wake pamoja na kuwa maisha ya ndoa yako very complicated ni vizuri kujiwekea msingi ambao leo na kesho hautakuja kuleta mabadiliko ambayo yatamuumiza mmoja wapo jambo la msingi ni kukaa na kuongea pamoja na kuangalia kitu gani na wakati gani kipewe kipaumbele kulingana na hali na wakati wake.
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The Following 2 Users Say Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

  The Finest (Today) ​
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Well DC kuna siku ambazo mkeo atarudi amechoka hiyo inafahamika na tena kama anatimiza majukumu yake kama mama akiwa nyumbani basi ilo linaeleweka na nafikiri mtu utakuwa na utu wa kujali na kufahamu kuwa pia yeye ni binadamu kama wewe siku zote hawezi kuwa malaika lazima kuna siku zingine amabazo hatokuwa sawa hiyo inajulikana, the house maid will remain as a house maid and your wife will remain as your wife
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hapo hakuna njia ni kuomba msamaha kwa mme na family kwa ujumla na kuahidi kubadilisha mienendo kupanga muda wa kazi na muda wa familia
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  No worries one day you will get there
   
Loading...