Siasa ni zaidi ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa ni zaidi ya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lutala, Nov 3, 2010.

 1. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Baada ya Uchaguzi Mkuu, uchangiaji wa mambo ya mapenzi umeshuka kwa asilimia 98. Hata majumbani kwetu muda wa kufanya mapenzi umepungua kwa zaidi ya sailimia 80. Mazungumzo na majadiliano yote yamehamia kwenye siasa. Kwa kweli inapendeza sana kwani maambukizi kwa wiki hili yamepungua kwa aslimia 52
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  :smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile::smile:
  :tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,966
  Likes Received: 23,850
  Trophy Points: 280
  Wiki moja ndani ya miaka mitano watu wanahenyeka na masiasa
  Wiki 259 za miaka mitano watu wanakula malavidavi

  Halafu great thinker anajidanganya eti siasa ni zaidi ya Mapenzi:doh::doh::doh:
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  !???????????????????????????????????????
   
 5. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Lakini si unaona jinsi malavidavi yalivyosimamishwa?
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
   
Loading...