Tanga Kunani....??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga Kunani....??!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Nov 2, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Niko Mji tajwa hapo juu ki-wajibu zaidihadi Ijumaa... ila ningefurahi kama ningekutana na walau Mwana JF 1 kwa wakati 'mwepesi'!!!

  Tanga Kunaniiiiii....?!:evil:
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  aah TANGA shwari tuuu....kumepoa kama maji ya mtungini...:israel::israel:
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu umeaga lakini ulipotoka maana sifa zao hao tunazisikia tu,isijekuwa ijumaa ikawa this time next year!!!!:laugh::laugh::laugh::focus:
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nenda apo barabara ya 8 simama km dk 10 .angalia upande wa mashariki uku umeshika kitunguu na uwe unarusha karanga kwa mkono wa kushoto then utaona kwa mbaaaaaaaaaali mwana mwali anakuja akikwambia twend uku we kataa akija wa pili akikwambia karibu tanga basi we neda mfate tu haina shda.bt make sure ushagawa urith woote kwa watoto wako na ushaaga ndg na jamaa bila kusahau jf!
  tanga njema:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:!!!!!
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nimepaona.... Salaam Aleykhum kila kona....!!
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu mie wa bara kweli... nateleza kuliko tope... wote wliojaribu wamedunda...!! uzoefu wa pwani ninao.:smile-big:
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nitalifanyia kazi hilo baada ya kiumaliza shughuli ilonileta Rose... nashukuru kwa ka-mbinu kapa ka kuopoa... mengine yote yatashindwa kwa hisani ya wana JF. Kuhusu kuaga...nnatisha kuliko kipindupindu!!:smile-big::smile-big:
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahaha hahah!!
  aya bwana!
  usisahau kunibebea hina ya mombasa jaman ...sawa:smile::smile-big:????
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  waalekum musalam warahmatullah wabarakat...ukiikanyaga tanga basi uso watia nuru hivi mkubwa yaani we achaa...wasalimiee wote wandugu..
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  rose usimtishe mwenzio mwache akamuamkiee babu hujui kama huyu mtorooo:hand:...
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Infwact sijaijuti safwari yangu.... na nahc maoni ya Paka M yalikuwa na ka ukweeeeeli... Karibuni Lakassa Chika...:wave:
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  .......haujashikiliwa huko?
   
Loading...