Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?
Kwa mantiki hiyohiyo jiulize pia dunia bila wanaume ingekuwaje?
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?
Kuna viumbe ambao wanazaliana kwa kugawanyika au kukatika sehemu za miili (nadhani inaitwa budding). Kwa wanaume wangezaliana kwa kukatika au kugawanyika!
Anyway, kwa kuwa naona ishu inayotahitajika hapa si kuhusu jinsi ya kuzaliana, then wanawake wana taste yao muhimu sana under the sun. Ever listened to 'STRENGHT OF WOMAN' by Shaggy? Maneno kama 'so amazing how this world was made, I wonder if god is a woman....' yana maana nzuri sana kwa umuhimu wa wanawake.
Ge:2:20: And Adam gave names to all cattle, and to the fowl of the air, and to every beast of the field; but for Adam there was not found an help meet for him.
2:21: And the LORD God caused a deep sleep to fall upon Adam and he slept: and he took one of his ribs, and closed up the flesh instead thereof;
2:22: And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.
2:23: And Adam said, This is now bone of my bones, and flesh of my flesh: she shall be called Woman, because she was taken out of Man.
2:24: Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
2:25: And they were both naked, the man and his wife, and were not ashamed.
Re: Assuming the world without women!
...(ashakum si matusi) hivi unajua maana ya Ass-u-me (?), ndio maana naona ugumu kuchangia...
pete na kidole!
Safi sana kwa mtazamo wako mzuri kabisa!lakini hii amri ya kutokula tunda la mti wa katikati walipewa wote yaani mwanamke na mwanamme!sawa eva alidanganywa akachuma lille tunda akala akampa na mumewe nae akala!Naomba nifunge mjadala huu kwa kuangalia maneno ya vitabu vitakaifu. Kwa jinsi vilivyoandikwa vitabu vya Genesis 2: 20 - 25:
Mtazamo wangu ni kwamba bila Mwana wa Adamu sidhani kama kungekuwa na Mwanamke. Na kutokana na kwamba wanadamu twapenda ishi katika maovu na dhambi na mwanamke ndo aliyesababisha uwepo wa dhambi duniani tunabaki kujiuliza Ingekuwaje dunia hii bila wanawake, dunia bila dhambi!!!
Mwanamke ana umuhimu. Dunia bila mwanamke wewe na mimi tusingekuwepo. Kwakuwa tuko na tunafikria kuhusu mwanamke ni wazi kuwa inabidi tumshukuru mwanamke na sivinginevyo.