Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na...
Hivi ukiacha mkeo huku kijijini ukakuta amesababisha kifo cha mzee wa miaka 60 utafanyaje? Kwa nini msikae na wake zenu huko mjini?
Mzee wa watu anaduka la nyama pale kijijini, mkeo huwa ananunua...
WADAU NI VP HALI ZENU HUKO NYUMA????
MANA NI MDA KIDOGO UMEPITA SIJAKUA HEWANI HIVYO SIKUJUA MWAENDELEAJE.
sasa mi naskia tu wa2 wanasema mwanamke akitaka awe na shepu la ukweli asiwe anakula...
Wana jf
Mimi binafsi nimekunywa karibu kila brand ya Bia lakn nikaona Brand ya Serengeti ndo mahali pake, kwanza hata nikijidunga vp kesho yake nakuwa poa. Lakn jaman nimekutana na wadau zaidi...
Nimiona ktk mji flani nilipoenda kuangalia Live band ilokuwa ukipiga zilipendwa...
Wazee, hasa wa kiume walikuwa wakicheza twist, wakiimba pamoja na wanamziki, wakifurahia haswaa.. walikuwa...
Kuna Baadhi Ya Mambo Nashindwa Kuyaelewa Kabisa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi:
1. Ni kwanini watu wakiachana, Huwa Wenza hukashifiana sana mfano; Mwanaume gane wewe? Mwanamke mwenyewe Mbaya n.k...
Nimepoteana na ndg yangu agostino kibi mwenyeji wa Bukoba Kagera toka mwaka 1981.
aliemuona au anaemfahamu au kumsikia naomba anisaidie kunijulisha Tafadhari!!Mara ya mwisho alikua anafanya kazi...
Miaka ya sabini hivi tulikuwa na misemo ya.............................Ndege imetua au bado ......kiwanja ni safi au la hasha..........................kiwanja kina majani au la.................n.k...
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini...
Wana GF wenzangu naona wengine wanaguswa sana na kuna nina mume wa mtu...kama mkewe hajafundwa akafundika anashindwa kumkabali mumewe mi hainihuu...akimpulizia vuvuzela mi namziba...
Kazimwaga zake sera, ilani kanipatia,
Kaniomba zangu kura, moyo kuuchagulia,
Imekuwa werawera, nia kanitangazia,
Kapita bila kupingwa, ni mgombea pekee!
Bila ya kuchakachua, mgombea kajinadi...
natumaini wote wazima
Jamani huu umbeya wa kina Geah una mambo. Eti kuna mwanamke analalamika kuchukuliwa mumewe na mwanamke mwingine ambaye amemteka kupitiliza hadi anasahau familia yake huku...
Nawashukuruni sana wanaJF kwa mawazo yenu(Kuhusu post ya "Ndo napigwa chini nini"), kwa kweli yalinijenga n I was ready for anything.
Leo nimeongea naye na kasema amenisamehe, though sio kwamba...
Huyu baba (mume wa mtu) vipi jamani simuelewi kabisa kila mara tunapokutana katika mavituz yeye huja na chupi mpya na kungangania kuondoka na ile niliokuwa nmevaa.... wakati mwingine hupenda hata...
Natafuta rafiki wa jinsia yoyote toka mkoa Wa Arusha au popote Tz mwenye ufahamu na madini ya TANZANITE. tuwasiliane kwa emeil redemtusnyanda@yahoo.com. Au simu +265999391596
Hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo...
Theres nothing wrong with a little bit of chaos in your life. As Albert Einstein once stated, Three rules of work: out of clutter find simplicity, from discord find harmony, in the middle of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.