My Boyfriend Said I Look Old | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Boyfriend Said I Look Old

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Nov 2, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  This is a very depressing statement to tell someone,

  especially coming from someone you are intimate with

  i am so depressed this morning i dont think i can work

  i am only 24 young ,beatiful also i love styles

  what do you guys think?:sad:

  Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:
   
 2. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  He's being honest. Is anything wrong with that?
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  saa nyingine waume wanasema vitu tu but they dont mean any thing....if ur only 24 u have got another 66 years to look old lol . so is 24+66.. :smile:
   
 4. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kampata Demu amejiweka makeup kibao!!, asubuhi ndo apata Reality(Kumbe ndivyo Sivyo)!!!!!!, Ashkuru kaambiwa kavu, ni jamaa kidogo sana waweza mwagia Demu hivyo!.
   
 5. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Girls bwana.. Mnapenda sana kudanganywa. You look good, prety, beautfull, nk. Akikuambia the other way round, hata kama ndo ukweli unalalamika.
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mmh mwambie atafute njia uyo
  mwanaume akikuchoka anaweza ata akakwambia ...u luk like ma grandmaa wakat ukijichek unameremeta mwenyewe km mbalamwez changa..
  izo ni gera tu za kumsepesha dada apo
  ajakuhadithia yote uyo lazma atakuwa amepewa slide(vituko) mbalimball lakin kashndwa kuzisoma ndo mana kaka kaamua kutoa statement i kwa mategemeo kuwa italeta maxmum effect...
  uyo kaka ana mahusiano kwingine
  kaka muoga kumwambia ukweli dada that m sor i gt some on eelse
  kaka ampend tena dada
  mwambie dada wala asigande kwenye kiooo kujicheki uo uzee upo wap...tel ha ur btful ever its just that pumpkin by the name of man kaamua kukubrust bt noooo usimsikilize
  mwambie ukweli thats jamaa ana demu mpya uko na aking'ang'ania kuna siku atamwambia unafanana na sokwe,unanuka wew uogi na maneno mingne km iyop
  THE MAN Z COWARD ..km mwanume kamili angeisimamisha sentens km ilivyo that e bana ee km vip tulivunje baraza...!!!!!
  ahh m luking old??kudadadek walllaaahh ... patachimbika vbaya mno si km nakataa ukweli nisichotaka nikudharauliwa.....
  WAKAT ANAKWAMBIA U R SO BBBBBBBBETFUL ..MACHO km st anna,uso km wa cleoptara,unavutia km marie antonente...vdole km julia robert..unafly wala hauwalk... IWEJE GAFLA IVI NIFANANE NA BIBI YAKE????dah apana
  AMEZE MAUMIVU ATAFUTE MWNGNE APO SIPO.
   
 7. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart):cool:[/QUOTE]

  Oooooooh no? I thought its you? I was getting ready myself to employ someone experienced not learners?
   
 8. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kwani alivyompenda hakuliona hilo? Wamekaa muda gani katika hayo mahusiano yao?
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  amuulize kaka ivi ujui km umefanana na mugabe?
  una undugu na masud masud?tatizo nina penda wanaume wanaotisha bt kwa vile haujskii tena poa nasepa naenda kwa wanaume kweli mahand sam!!!!
  byeeeeee
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mapenz yameisha apo
  apendw tena
  amepata mwngne
   
 11. B

  Brandon JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh,dont be depressed. Shukuru kuwa amekwambia. Maybe anata ka kukuchalenji tu aone reaction yako.

  Mr wangu mi huwa ananiambia pia kama nimependeza au hapana. Nikigain weight ndo anakuwa wakwanza kuniambia hivyo nastruggle kupunguza weight.so ucjickie vibaya muulize akwambie kwann anaona u look old.
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  The truth is u cant look old whn ur 24......... NO Matter wht...
   
 13. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ona sasa. Mdada wa watu cku hiyo makeup haijakaa vizuri, kaambiwa ukweli, unamshauri amuache mpenzi wake. Utalaumiwa Rose. Mimi namshauri abadili muonekano. awe kama cku aliyoambiwa "you look sooooo bbbbeautfull"
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Nimesahau kabisa uwepo wa jukwa letu aisee....acha politiki ipite kidogo then :focus:
   
 15. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa inaonekana kishapata kabinti ka shule ya msingi ndo anajaribu kumlinganisha huyu Dada na binti
   
 16. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  kweli huyu kishapata Kipya kinyemi :A S angry:
   
 17. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Khaaaaaaah honest gani hiyo?
   
 18. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  well said. nimegonga kitufe cha i like this kikagoma.
   
 19. B

  Brandon JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  a man has been honest. Hebu atuambie je amegain weight? Au amejiachia hayupo tena sopsop. Maana kuna wanawake wakishaolewa full tym makanga.

  Mi nilishawahi ambiwa kuwa nimezeeka nilipogain weight. Nilistrago for three months kuloose weight,baada ya hapo kila siku akawa ananisifia that am looking good.

  Three days ago kaniambia nimeanza kugain weight sasa nataka kuanza kupunguza uzito tena.

  Unajua wanaume wengine wanapenda wake zao wawe katika hali flani sasa inabidi waseme ili mtu ajuwe,sasa hapo ni juhudi zako,ukilemaa tu jamaa anatafuta aliye na hicho anachokitaka.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hapo unamjibu kabla yako nilikua kijana sana... umenizeesha wewe
   
Loading...