I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.
Kwa wanawake...
Sio swali zuri, lakini inabidi sometimes uwe umeshaliwekea principle ili siku yakikukuta usiamue kutokana na hasira...
Hivi kama mmeo unayempenda sana, kwa bahati mbaya siku...
Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika...
Ladies and Gentlemen,
''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono...
Popote mlipo mie ZD nimewamisi mnooo yani....kwa kifupi nimewakosa na nawatamani.....
Nazikumbuka sana ofutopik zenu....
Wapwa wote mkiwakilishwa na ...
Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............
Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa...
Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na...
Hivi ukiacha mkeo huku kijijini ukakuta amesababisha kifo cha mzee wa miaka 60 utafanyaje? Kwa nini msikae na wake zenu huko mjini?
Mzee wa watu anaduka la nyama pale kijijini, mkeo huwa ananunua...
WADAU NI VP HALI ZENU HUKO NYUMA????
MANA NI MDA KIDOGO UMEPITA SIJAKUA HEWANI HIVYO SIKUJUA MWAENDELEAJE.
sasa mi naskia tu wa2 wanasema mwanamke akitaka awe na shepu la ukweli asiwe anakula...
Wana jf
Mimi binafsi nimekunywa karibu kila brand ya Bia lakn nikaona Brand ya Serengeti ndo mahali pake, kwanza hata nikijidunga vp kesho yake nakuwa poa. Lakn jaman nimekutana na wadau zaidi...
Nimiona ktk mji flani nilipoenda kuangalia Live band ilokuwa ukipiga zilipendwa...
Wazee, hasa wa kiume walikuwa wakicheza twist, wakiimba pamoja na wanamziki, wakifurahia haswaa.. walikuwa...
Kuna Baadhi Ya Mambo Nashindwa Kuyaelewa Kabisa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi:
1. Ni kwanini watu wakiachana, Huwa Wenza hukashifiana sana mfano; Mwanaume gane wewe? Mwanamke mwenyewe Mbaya n.k...
Nimepoteana na ndg yangu agostino kibi mwenyeji wa Bukoba Kagera toka mwaka 1981.
aliemuona au anaemfahamu au kumsikia naomba anisaidie kunijulisha Tafadhari!!Mara ya mwisho alikua anafanya kazi...
Miaka ya sabini hivi tulikuwa na misemo ya.............................Ndege imetua au bado ......kiwanja ni safi au la hasha..........................kiwanja kina majani au la.................n.k...
Hili ni onyo tu wa wale wanaokaa na kufikira wake za watu ukweli halisi ni kwamba kama unapenda kula mke wa mwenzako basi ujue ipo siku ataliwa wa kwako hata ukioa na miaka 50.....kama uamini...
Wana GF wenzangu naona wengine wanaguswa sana na kuna nina mume wa mtu...kama mkewe hajafundwa akafundika anashindwa kumkabali mumewe mi hainihuu...akimpulizia vuvuzela mi namziba...
Kazimwaga zake sera, ilani kanipatia,
Kaniomba zangu kura, moyo kuuchagulia,
Imekuwa werawera, nia kanitangazia,
Kapita bila kupingwa, ni mgombea pekee!
Bila ya kuchakachua, mgombea kajinadi...