Serengeti Bia na Nguvu za kiume!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana jf

Mimi binafsi nimekunywa karibu kila brand ya Bia lakn nikaona Brand ya Serengeti ndo mahali pake, kwanza hata nikijidunga vp kesho yake nakuwa poa. Lakn jaman nimekutana na wadau zaidi ya 10 sasa wananiambia Serengeti bia inapunguza sana nguvu za kufanya mapenz tena wengne tena wanatoa vielelezo kuwa imewahi kuwatokea na sasa wameacha kuitumia. Jaman kuna yeyote ana taarifa sahihi kwa hili? Naomba kuwasilisha!
 
wana jf

mimi binafsi nimekunywa karibu kila brand ya bia lakn nikaona brand ya serengeti ndo mahali pake, kwanza hata nikijidunga vp kesho yake nakuwa poa. Lakn jaman nimekutana na wadau zaidi ya 10 sasa wananiambia serengeti bia inapunguza sana nguvu za kufanya mapenz tena wengne tena wanatoa vielelezo kuwa imewahi kuwatokea na sasa wameacha kuitumia. Jaman kuna yeyote ana taarifa sahihi kwa hili? Naomba kuwasilisha!

dirty marketing tricks!!!
Hii ni kama siasa za udini kwenye kampeni za uchaguzi
 
we utakua ume2mwa na kampuni fulani y bia uharibu soko la serengeti.kama kuna menager w serenget bia humu shitaki hiyo jamaa.
 
Kama afya yako mbovu kwanini usingizie Bia, achana nayo, halafi, Kwanini unajaribu brands nyingi hivo?
Kuwa na uhakika na unalofanya na tatizo si hiyo ila ni kuzidisha pombe
 
Hayo ni maneno ya kibiashara
Mimi ni shabiki mkubwa wa Serengeti na ninazitwanga kisawasawa
na niko fiti sana ktk uwanja wa sita kwa sita

Fanya utafiti mwenyewe ukiwa umezinywa unaishia goli ngapi na kama hujanywa performance yako inakuaje
 
Mimi siku zote natumia serengeti na hakuna tatizo, jogoo anawika vibaya mno!!!! nahisi umetumwa na watu wa TBL, ushindwe na ulegee!!!
 
Kama umeambiwa inapunguza nguvu za kiume wewe mwenyewe kwa sasa unaonaje hali yako?
Kama zimeanza kupungua ina maana umeshaathirika kisaikolojia,na njia ya kujinasua ni kuacha kunywa hizo brand.
 
Wana jf

Mimi binafsi nimekunywa karibu kila brand ya Bia lakn nikaona Brand ya Serengeti ndo mahali pake, kwanza hata nikijidunga vp kesho yake nakuwa poa. Lakn jaman nimekutana na wadau zaidi ya 10 sasa wananiambia Serengeti bia inapunguza sana nguvu za kufanya mapenz tena wengne tena wanatoa vielelezo kuwa imewahi kuwatokea na sasa wameacha kuitumia. Jaman kuna yeyote ana taarifa sahihi kwa hili? Naomba kuwasilisha!

Naomba unifahamishe wewe unafanya kazi wapi na elimu yako pia, baada ya kujua hayo mawili nitarudi tena
 
Back
Top Bottom