How to convince your man to get circumcised

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.
 
Kama hadi umri huo ana govinda sidhani kama ataenda kuchojoa suruali yake mbele ya manesi na tabibu ili akatwe.

Halafu unajua zamani wakati niko dogo nilidhaniaga mtu ukiwa na govi basi mademu utakuwa hupati. Baadaye ktk mazungumzo na mademu mbalimbali nikaja kugundua kuwa kuna mademu wengi tu ambao hawajui tofauti kati ya dhakari iliyokatwa na ambayo haijakatwa, hususan wale ambao kwa wamezaliwa wasichana tu.

Tena unakuta njemba ambazo zina mkono wa sweta ndo zinapata wachuchu wa nguvu na wachuchu wanaonekana kuridhika tu na penzi walipatalo.
 
PRECIOUS PLEASEEEE...KWANINI UNATAKA KUMSHAWISHI AKATE GOVI LAKE BANAAAAA....

DONT DO THAT PSEEE...MIE MWENYEWE I WISH I COULD TURN BACK ALL THOSE GUD DAYS NILIVYOKUWA NA GOVI LANGU....SIKUHIZI WANAWEKE WOTE MJINI HAWAJUI LADHA YA GOVI ..AND I KNOW PLENTY OF THEM WENYE HAMU YA KUONJA UTAMU WA HIYO KITU..

DAMN..GOD WHY ME PLEASEEEEEE...NINGEKUWA NALO HIZO TENDER ZOTE ZINGINIWEKA MJINI RAHA MUSTAREHEEEEE.....AM MISSIN MY GOVI BANAAA....DONT DO THAT TO YOUR MAN...ni maoni yangu jamaniiiiiiiii
 
mweee mweeeeeeee !!!! ili nalo neno jaman!
haa mwenzangu kwan ikiwa ivo ivo mbaya?magonjwa eennh?
ahh ukubwa wote uo
labda mpeleke kwa dr ampe darasa la prons n cons za kubaki na jisweta...labda ataelewa
lakin km akijifanya i ndo mila silitoi mie itakuwaje??
haaaaa i kali
ivi wanaume sampuli km izi bado wapo?et finest?roy?mh hatari mbona
MPELEKE HOSPTAL AKASHAURIWE FAIDA ZA KULIKATA ILO DUBWANA.
 
unajua ni mwiko kuwa huja tahiri,infact nika wambia watu wengine anaweza kutahiriwa kilazima.Sikuwahi kuona mtu asiye tahiri.Na yeye amekuwa akificha ,hataki kuguswa kumbe ameficha makuu.Nilipojua sijaweza hata kuonana naye.Im avoiding him mpaka nione what to do.Ni risky sana hata na protection because of hygiene issues.Kwanza ni mwiko mkubwa - hata inatisha - nivile tuu sikujua.
 
basi umejua mama chukua hatua
mshauri km ashauriki we sepa dahh utakaa nae vp uyo kaficha nyoka kwenye boksa?
maradhi+ata mautundu mengine pia utashndwa kuyafanya manake dah....ile kitu one twoo one twoo mic chek apo nehi manake mazngra ya mtutu hayapo frendly..
ivi risasi na makali yake inaweza ikawa sawa na waliomenywa?ahh ebu sepa bib weeweeeeee mwache na linyama lake km vp alifanye kamba yakuanikia nguo
bakteria apo garantee na mijianaume mingne ilivyo mivivvu kubadirisha boksa weeeee hatari utakuta kavaa boksa siku 4 au 5+g.o.v.i=?
 
sijui nicheke ama nilie.Point kali sana
 
kumbe unaipigaga sana hii one twoo one twoo mic cheki eeeeeeeeh!!!!
 
tokazako !
mwone vle!
kwani ile imeumbwa kwa matumizi gani?sasa kwanini niifanyie diet?toka zako bacha ushndwe na ulegee!!!!
SICHOKOZEKI!!!!!!!!!!!!!
 
I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.

hakuna haja bwana mkono wa sweta nao unarahaa yake loh isikupe presha u just test it.
 
I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.

Sasa Kelele za nini?, Ushapenda Shetani, Penda na Mbuyu(Kifumbu) wake!!!!!!!!!!!
 
Kama hadi umri huo ana govinda sidhani kama ataenda kuchojoa suruali yake mbele ya manesi na tabibu ili akatwe.

Halafu unajua zamani wakati niko dogo nilidhaniaga mtu ukiwa na govi basi mademu utakuwa hupati. Baadaye ktk mazungumzo na mademu mbalimbali nikaja kugundua kuwa kuna mademu wengi tu ambao hawajui tofauti kati ya dhakari iliyokatwa na ambayo haijakatwa, hususan wale ambao kwa wamezaliwa wasichana tu.

Tena unakuta njemba ambazo zina mkono wa sweta ndo zinapata wachuchu wa nguvu na wachuchu wanaonekana kuridhika tu na penzi walipatalo.

Watu wanatahiri hata baada ya kufikisha 50 yrs. Hukusikia hadithi za wajaluo wa Kenya?
 
Mtegeshee tandu amuume kunako ikulu....ikivimba unamuwahisha kulikata...
 
tokazako !
mwone vle!
kwani ile imeumbwa kwa matumizi gani?sasa kwanini niifanyie diet?toka zako bacha ushndwe na ulegee!!!!
SICHOKOZEKI!!!!!!!!!!!!!

Yaani nimecheka mpaka basi we rose wewe una mambo mweeeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom