Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 283
Nimiona ktk mji flani nilipoenda kuangalia Live band ilokuwa ukipiga zilipendwa...
Wazee, hasa wa kiume walikuwa wakicheza twist, wakiimba pamoja na wanamziki, wakifurahia haswaa.. walikuwa wakisindkizwa kucheza na totoz wareembo kabisa ktka cheza yao.
Binafsi niliona waliufurahia uzee wao.. wakwa wameshatimiza mengi maishani mwao.
JE..KAMA UKIFANIKIWA KUUONA UZEE..UNGEPENDA MAISHA YAKO YA UZEE YAWEJE?:thinking:?