Misosi ya kwenye mifuko!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misosi ya kwenye mifuko!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PAS, Nov 9, 2010.

 1. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  WADAU NI VP HALI ZENU HUKO NYUMA????
  MANA NI MDA KIDOGO UMEPITA SIJAKUA HEWANI HIVYO SIKUJUA MWAENDELEAJE.
  sasa mi naskia tu wa2 wanasema mwanamke akitaka awe na shepu la ukweli asiwe anakula chakula kwenye mfuko mana anakosa virutubisho vya kumkuza shepa, hivyo awe anakataa mifuko.. je ni kweli???
  mademu tuambieni ili tuwe tunaringa na kuwabania..
   
 2. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  na ww habar za huko nyuma kuzima? 2waachie wadada 2one wanasemaje.
   
Loading...