Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,273
- 1,021
Ladies and Gentlemen,
''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono wabunge vijana na kipenzi cha wote siku ambayo watakuwa wanaapishwa rasmi.
Tunaamini kwamba kwa nafasi yetu ndogo tuna mchango mkubwa sana katika mabadiliko makubwa jimbo la kawe na ubungo KWA VITENDO....!
Sisi wanachama hai na wana-jf tusio na stress tulikuwa na kampeni yetu ya BAA-KWA-BAA,GROSARI KWA GROSARI,gesti-kwa gesti tukiwa na picha za wagombea wetu.....!kabla ya kunywa bia yoyote tunaanza na sala
Sisi wanachama wa jf tusio na stress tumekuwa karibu na regia(kila mmoja kwa nafasi yake ndogo).....!na kwa kuliweka hili sawa ni kwamba TUNAWASHA MATUKUTUKU YETU HADI DODOMA KWA HESHIMA YA REGIA!tunampenda sana regia....!
Bila kushuka na nadharia nyingi za laibrale na kwenye journals....tunawathibitishia kwamba sisi tunaenda dodoma.
kwa yoyote anaetaka kuungana nasi kwenda dodoma kuwashika mikono wabunge wetu wapendwa kabisa naomba awasiliane na mimi Baba Gift,au awasiliane na Teamo,au akishindwa kabisa awasiliane na Carina_TI kwa ajili ya taratibu za kiusafiri.....!
Ahsante sana JF,
Ahsante Sana I.S.C
Ahsante sana Mwenyekiti,Mkuu wa Bodi ya wadhamini,Ahsante sana Katibu Mkuu,Ahsante sana Mhazini Ahsante sana wanachama mlioingia kwenye panel moja kwa moja
NIKIRIPOTI KUTOKA BONDENI HOTEL CHUMBA NR 10,mimi ni Baba la Gift-THE SUPER KING