Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na kuambiwa kuna JF member Anayekwenda kwa jina la Mama Big. Naskia ni mtaalamu wa kutoa stress za kichwa. Namtafuta sana anipe masage za stress.
Mama Big where are you. Someone looking for you!:A S-heart-2: