Kukiri kungonoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukiri kungonoka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Edmund, Nov 9, 2010.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani

  Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.
   
 2. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjomba usiombe uone cha moto, wanawake tunajua kutunza siri sana na kwa staili hiyo ya kijifanya kidume cha beberu eti hutaki kukiri kosa unaweza juta kumjua huyo dada kwani mnaweza kufunga ndoa akakufanyia mambo ya ajabu katka harakati za kulipiza kisasi, bora ukiri na yaishe kwani kama mtu alihifandi tukio kubwa kwa muda wote huo, mmm avatar yeke sijui ataichezaje.
   
 3. E

  Edmund Senior Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kumbe we ni mdada sasa naomba nikuite Wakuchakachuliwa badala ya hivyo unvyojiita Wakuchakachua, nahitaji mawazo ili niweke na ya kwangu kabla sijatoa maamuzi.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kiri kosa omba msamaha
  atakusamehe kwa sababbu ashakwambia kiri ntakusamehe basi usiifanye ngumu shingo yako ...ukiwa mkaidi ikivunjika haitafaa tena
  usirudie tena afta msamaha sawa?
  KWANINI ULIENDA KUCHOVYA NJE?pls i wan knw pia mwelezee na yeye y ulitoka nje ili km kuna mapungufu bas muyasafishe kbsa b4 ndoa
  KINYUME NA APO SUBIRI REVENGE EVEN AFTA 10 YRS WEWE UMESAHAU YEYE NDO ATAKULIPIZIA.
  fanza km alivyokwambia.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wewe kweli unataka kuoa na uko kwenye hiyo situation
  mmmmmhhhhhhhh mimi naona kama bado unampenda huyo mpenzi wako wa sasa
  unatakiwa umwonyeshe kweli unampenda na huta fanya tena kitu kama hicho

  mpeleke holiday mahali halafu mwombe msamaha na itakuwa vizuri
  kama uki propose tena
  na unatakiwa umuhakikishie haita tokea tena
  kwani inaonekana bado anakupenda hapo aliposema "niombe msamaha ili tuanze UPYA"

  TRUTH WILL SET YOU FREE.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ilivyokuwa rahisi kwako kungonoka nje, pia iwe rahisi vile vile kuomba msamaha
   
 7. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Deny deny deny deny! Kama hujakamatwa kwenye eneo la tukio, tafuta kisingizio cha kuonekana au kuwasiliana na huyo demu, singizia ulikuwa unafuatilia kazi au biashara or any other credible excuse.

  Hata ukiomba msamaha, si kwamba atakusamehe. Atajifanya tu amekusamehe,na labda ata-ignore tu kwa muda. One thing you should know, is that women never forget such issues. Atakuja kukumbushia siku moja na inaweza ikawa chanzo cha ugomvi hata miaka kumi baadaye. Unachotakiwa kufanya ni kukataa, kataa, kataa, kataa, kwamba ulilamba huyo demu mwingine. Ila usirudie tena kucharge huko na huko kama charger ya kobe.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kataa mpaka unaingia KABURINI KATAAAAAAA!
   
 9. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Wasnt me.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  mmmmhhhhhh wewe
  akikata maisha yao yote ya ndoa yatakuwa yaugomvi
  hawata ishi maisha ya raha kabisa
  kwa sababu atawekewa security camera every where....
  na hizo revenge ...
  mi naona kweli aseme tu ukweli....
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  napata wasi wasi anaweza pigwa kibuti ...
  Nilimuona kaka mmoja alihisi wife wake anacheat ..na akaja-confirm ni kweli.
  Kila siku akimuuliza wife anakataa kabisa na hakuwa na evidence zaidi ya kumfanya amhukumu moja kwa moja.
  wakakaa mwaka wa kwanza wa pili wa tatu kila siku anambembeleza amwambie kama kweli ali-cheat
  Siku moja kamwamsha usiku wa manane na kumpa maneno matamu sana huku akimbembeleza amwambia kama ni kweli ali-cheat kwa jinsi mwanaume alivyokuwa anaongea kwa huruma na machozi na kumuhakikishia hata akimwambia ukweli ndoa yao iko pale pale .na nadhani huyo kaka aliamini mkewe akimwambia ukweli atakuwa mvumilivu wa kukabili jambo hilo
  Maskini Bi dada akasema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu sitarudia
  Kumbe husband anamrecord na kawa anarudia kila siku kusikiliza hiyo saut ya mkewe akisema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu huo ndo ulikuwa mwisho wa ndoa yao..
   
 12. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ooog poor woman...angejua angegoma tu hadi kieleweke
  Mi nakushauri we kaka endelea tu kukataa yaani ukithubutu kujihukumu umekwisha
  Stick to your lie and you will find yourself believing it na maisha yatasonga mbele
  but usirudie tena
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Usijidanganye ndugu yangu kataaaaa katakata kwani aliiona ikiingia shimoni? au alikusaidia? kataaaaaa usikubali:nono:
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  beautiful lies.
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kama ana ushahidi kubali omba msamaha,muombe muanze upya lkn na wewe ubadilike.Jijengee tabia ya uaminifu,hujaoa mara hii umeanza kucheat jamani! ukioa je ukamzoea si utakuwa hushikiki?anyway,naamini huwa tunakosea na wewe kama umegundua kosa utabadilika.

  Unapokosea usione shida kuomba msamaha ili kuweka hali shwari,ukiomba msamaha bado utabaki kuwa mwanaume tuu tena mstaarabu hivyo isikupe shida
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sio wanawake wote...mie nipo kama huyu mdada, yaani nikiwa na uhakika wa kitu then mtu anataka kuniona mjinga huwa kesi haiishi, kwangu nikiambiwa ukweli nakuwa na amani na ansamehe kabisa, wambie ukweli kitendo ulichomfanyia, tamaa zinawaponza.
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  kashakusamehe huyo wala usiombe msamaha..
   
 18. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unapotea sana bana!nimekukosa muda
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  FL wanaume ni tofauti sana kwenye ishu ya kusamehe anapojua ume cheat, cc huwa tunajua tunapata uhakika na tunasamehe, cjawahi kuona mwanaume ameweza msamehe mke wake kwenye ishu ya ku cheat kirahic, lakini cc wanawake pamoja na mie pia nilishasamehe mr aliponi cheat, kuna tofauti kubwa sana ya kusamehe kwa mwanaume na mwanamke kweye hii ishu, huyu mdada angekuwa ngugu/frnd wangu ningemuuliza kama bado anaipenda ndoa yake na angeniambia ndio bac ningemshauri hata afanywaje na mume wake ackubali ukweli, ni ngumu sana kwa wanaume.
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  dearest mihangaiko ya kutafuta ugali wa wanao tu mami....nimerudi.
   
Loading...