figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,678
- 55,599
Nimepoteana na ndg yangu agostino kibi mwenyeji wa Bukoba Kagera toka mwaka 1981.
aliemuona au anaemfahamu au kumsikia naomba anisaidie kunijulisha Tafadhari!!Mara ya mwisho alikua anafanya kazi UDA Dar es salaam.mkewe alikua anafanya kazi UTUMISHI aliitwa VAISI.