Usiku umefika, Unataka lakini mwenzio mhh!!!!!!!! Unafanyaje?????

MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,166
166
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.

Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku
 
sasa ndugu unatafuta shuka usiku ushaingia?shuka unalitafuta mchana kabisaa ili ikifika wakti ni kujifunika tuu!tutakujibu asubuhi,ngoja tuwajibike
 
Toa tu itasaidia kesho, maana usiku huu ushaharibika, pameshachimbika
 
Heeeeeeee sasa huyo amekuja kulala au..? mwambie asikuonee, maana huo ni unyanyasaji, mpeane muulize kulikoni? ila don't force her i beg u, ongea nae taratibu, mbembeleze nahisi anakupima au ana hisia fulani leo.
 
Acha maneno yako weweee, wewe kama unajua jinsi ya kumleta mkeo kwenye anga za mavituz...hawezi kukunyima.
Kama unambaka kwa kweli usiku unapoingia huwa ni maumivu. Kama unampa shughuli ya raha, walahi hujaomba kashakupatia.

Wengi bado hamjui jinsi ya kumshika mkeo akanyegeka.

Wasiliana na mkeo akueleze wapi pa kumshika kama huwezi kuvumbua mwenyewe.

Mwenzenu huwa naona hata mchana ni mrefu, i can't wait swaiba wangu arudi home tujivinjalii.
 
Tafuta nyumba ndogo ackuzingue huyo.kw wanandoa asubuh na ucku.cku za wikiendi mara3 kw cku.
 
bwana eee mi nona anakupa lakini we hutaki kufanyia kazi...

kakupa mgongo sawa wewe nunua massage oil (mpe massege)
ukitoka kazini usisubirie mpaka usiku.... anzia jikoni wakati anapika(kama unawatoto waambie wakafanye homework)
au saa nyingine mwambie aje akusugue mgongo...
baada ya kazi huo ndo muda safi wakuingia vitani lol
KUBAKA ---- hata kama umeoa ni dhambi
penzi nikubembeleza na si kulazimisha.....
hilo swali la mara ngapi kwa siku mmmmhhhh
kama ukiweza asubihi na jioni fresh lakini mara moja kila
siku ni vizuri....
one more thing to make ur sex life exciting whenever u and ur partner a free
just go for it..... hakuna sehemu iliyoandikwa ni usiku tu....
 
kwa wanandoa mfanye pale tu mnapotaka kupata mtoto TU:yield:........ASIYE OWA ASIFANYE KABISA.....IKIMBIENI ZINAAAAA VIJANA
 
:tape::tape::tape::tape::tape:

GUDI MONINGI
 
Ebo! hii ni comprehensive.

Nashukuru kwa mawazo mazuri sana. You are great thinker
 
kwa wanandoa mfanye pale tu mnapotaka kupata mtoto TU:yield:........ASIYE OWA ASIFANYE KABISA.....IKIMBIENI ZINAAAAA VIJANA
Hii naona inahitaji mkataba, tukipanga kupata mtoto kwa miaka mitatu, inamaana mnafunga ndoa, halafu mnafanya baada ya miaka 3. na kama mmepanga kuzaa watoto watatu, basi mtafunga ndoa na kufanya mara tatu tu.

hamna haja ya kuoa basi. Au tufanye tu kwa mkataba tuwe tunaitana tu tunapotaka kupata mtoto.

Kwa wasiooa hilo ni kweli kabisaaaaaaaaaaaaaa
haya mambo si ya kukimbilia
 
mara moja kwa wiki mbili so marambil kwa mwez
zngatia giza totoroooooo (only night)na chumba kifungwe wakat mna doo
 
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.

Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku

Najaribu kusoma between line hapo!!!!huo mgongo huo.......................
 
mara moja kwa wiki mbili so marambil kwa mwez
zngatia giza totoroooooo (only night)na chumba kifungwe wakat mna doo
hapo bado, kama ni mara moja kwa wiki, si itakuwa mara 4 kwa mwezi?
Kusitiri ni vizuri wasije wakaja watoto bure!
 
Najaribu kusoma between line hapo!!!!huo mgongo huo.......................

Ah! bacha, yaanai wewe ni mgongo tu! Yaani kakugeukia upande mwingie, na ukimshika sehemu fulani anageuka tena kuashiria hataki hata kushikwa hapo. Na pengine vile vile. Siyo mgongo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom